🙏🙏🙏Pole mkuu, 🤣🤣🤣😊😊😊😊😊
Yawezekana, ila kupitia story of change ikawa imeleta awareness mpya na attention kwa wahusika katika kuyafanyia kazi maana yaliandikwa kwa weledi zaidi kuliko hapo awali.Mkuu sidhani kama umenielewa niliposema topics nyingi za JF zilishakua discussed before,na kihistoria hazijafanyiwa kazi na serikali,