Amekua wa ngapi ? ili nijue namshikia wapiAmeshinda mkuu, nenda kamdai 🤣
Asante kwa taarifa ngoja niende zangu PM kulekule alikoniombea kuraAmeshinda amekua wa Kwanza mkuu
Kuna jamaa yangu yeye alikuwepo kwenye hiyo event ya kuwakabidhi ushindi hawa watu na alialikwa kama mwakilishi toka wizara fulani, anasema wizara imeomba baadhi ya maandiko ya hawa washiriki kwa ajili ya kusoma na kufuatiliaHello JF!
Ningependa kwanza kuwapongeza washindi na washiriki wote wa JF stories of change.
Second,leo nimejikuta najiuliza impact ya shindano hili kwa jamii yetu ni nini? Kuna vitu viwili kuna faida iliyoonekana right from the start, nayo ni awareness ya mambo mbalimbali kama magonjwa ya kisukari, akili n.k hili unaweza kuona hata kwa responses za watu kwenye thread husika. Kwangu mimi hili la awareness lime meet objectives/ Lengo la wandaaji wa shindano hili.
however, tunashindwa kuona impact ya yale mawazo mazuri ya kuishauri serikali na kuona positive change katika jamii yetu, hii ni ngumu kupima impact sababu kihistoria JF imekua ikishauri serikali mambo mbalimbali na ukiangalia topics za washiriki utagundua mengi yashakua discussed hapa JF before, ila serikali ni machache inayafanyia kazi, kwangu mimi shindano limeweza ku create awareness lakini limeshindwa Kumeet objective number two; ku drive change in our society.
Anyway siko hapa ku criticise kazi za watu, nachoomba wanajamii ni tu discuss ways ya kuisukuma serikali kufanya yale yanayoshauriwa na wana JF,
Becky
Huyu hata usingempa kura angeshinda tu, maana kura zimechukua 40% tu na 60% ni uamuzi wa majaji, hapa ndio amepata kura zote za majaji, hii ni kulingana na watu waliohudhuria warshaAsante kwa taarifa ngoja niende zangu PM kulekule alikoniombea kura
Ccm ni wahuniNchi yetu hakuna tena demokrasia.
Kidumu chama cha mapinduzi, ufisadi daima uzalendo mwiko
Huyu ana hasira sana na JF baada ya kushindwa, tangu juzi mada zake na comments zake zinahusu stories of change tu, mimi namshauri agange yajayo, penye shindano lazima apatikane mshindi na lazima ukubali kushindwaSasa Rebeca 83 ulitaka threads ziandikwe na punde tu serikali ianze kutendea kazi shauri zilizotolewa?
Vuta subira, huenda mwakani au hata muda mwingi ujao, wenye kutendea kazi shauri watakuwa uwanjani kutendea kazi...
Walaaaa ,Kwanza kwa mabandiko mengi ya jukwaa lile wala sikufikiria kama nimeshinda,usinionee bure,Huyu ana hasira sana na JF baada ya kushindwa, tangu juzi mada zake na comments zake zinahusu stories of change tu, mimi namshauri agange yajayo, penye shindano lazima apatikane mshindi na lazima ukubali kushindwa
Mkuu sidhani kama umenielewa niliposema topics nyingi za JF zilishakua discussed before,na kihistoria hazijafanyiwa kazi na serikali,Sasa Rebeca 83 ulitaka threads ziandikwe na punde tu serikali ianze kutendea kazi shauri zilizotolewa?
Vuta subira, huenda mwakani au hata muda mwingi ujao, wenye kutendea kazi shauri watakuwa uwanjani kutendea kazi...
She deserved it Boss but my vote 🗳 mattersHuyu hata usingempa kura angeshinda tu, maana kura zimechukua 40% tu na 60% ni uamuzi wa majaji, hapa ndio amepata kura zote za majaji, hii ni kulingana na watu waliohudhuria warsha
Wasio na mpinzan kbsa, wala wa kuwakosoaCcm ni wahuni