"KQ owns 20 planes while another 20 planes have been leased from other aviation firms, bringing KQ’s fleet to 40....However, the airline is still paying loans it took from foreign banks to buy 17 of the 20 aeroplanes, having fully paid for THREE..."
Source:
Cs Macharia reveals the ghost owners of planes at Kenya airways – Daily Active Kenya[/QUOTE
For my part kenya plays well is this area. If you are eligibal for a loan of up to 20 planes while you capacity is only 3 planes, it means that instead of using usd 250mil to only purchase one b 787 you use the same amount to earn a loan in which you are eligible up to 20planes that is tricky.
Mimi sio mkenya ila kiukweli kwa hili nawapongeza, badala nitumie usd 210000 kununua gemilang bus moja. Natumia hiohio usd kulipia 30percent scania loan ili kupata mabus matatu ya mkopo.
Hata tukija kwenye hesabu ya siku, kama ningepata faid ya bila mkopo kwa siku ya1mil, ila napata 500000 kwa kila gar baada ya mkopo kwa magari matatu napaya 1.5mil, ongezeko la 500000. Hapa hata nikisema niweke mtiririko vizur bado naweza kuwa na mtiririko ambao utanifanya niweze kopa tena mabus mengine wakat wewe bado unahangaika kutafuta faida ya bus moja tu.
Halafu hivi vitu sio vya kukimbilia tu mfano unanunua cash yanatokea yale ya ethiopia ambapo imebid waziground b 737 zote nani atapata hasara.