"In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole

Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.

Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.

Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.

Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.

Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST

Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.

Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.

Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.

Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.

Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
In God We Trust we mean
G-Gold
O-Oil
D-Diamond
Popote pale penye mojawapo ya kilicho orodhezeshwa hapo lazima ukute kampuni la Amerika..!!
Salamaleko
 
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole

Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.

Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.

Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.

Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.

Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST

Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.

Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.

Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.

Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.

Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
Yani wewe unatakiwa uanze tena vidudu ,unatutia aibu sisi waafrika tunaonekana hatuna akili
 
America walijipatia Uhuru wao July 4th 1776 "In God we Trust" imeanza kutumika 1800+ na kwenye Noti imeanza kutumika juzi juzi 1950s.

Kipindi chote hapo katikati 🫠🫠
 
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole

Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.

Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.

Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.

Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.

Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST

Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.

Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.

Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.

Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.

Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
Kama ukimfuatilia au kumuangalia Trump unaona 'ulokole' basi una walakini!
 
Awa wananiheshimu kwa maneno tu lakini matendo yao yapo mbali nami
 
Sawa mtumishi. Tumekusoma. Tukumbuke pia kwamba kushika amri za Mungu na maelekezo yake, lazima kuambatane na kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili tuweze kufanikiwa Kiroho na Kimwili.
Upo sahihi. Wao pamoja na kumtegemea Mungu lakini hawaamini katika miujiza bali wanapiga kazi sana. Ila sisi wengi tunaamini zaidi katika miujiza bila kupambana katika maisha, ndio maana watu wetu wengi wamejazana kwa Mwamposa na wenzake ili wapokee miujiza ya kupata kazi, kufaulu mitihani, kupata mali, Kuolewa nk. Wengine wanataka miujiza ili ndoa zao zisivunjike wakiamini ni nguvu za giza . KIUFUPI SISI HUKU NI WAVIVU SANA
 
tofautisheni utajiri wa serikali ya china na taifa lachina

Wangekuwa matajiri wangekuwa wanasukuma matolori kariako hmo
Mnapokuwa wengi ni lazima mtasambaa sehemu mbalimbali na mtafanya shughuli za kila namna. Angalia Population ya China kisha linganisha na Marekani. China ni Bilion 1.4 wakati Marekani ni Milioni 3.3 tu. Hivyo usishangae kumkuta mchina akigema Ulanzi kule Njombe
 
Tanzania 'Mama anaupiga mwingi, hakuna kama mama'.
 
Mnapokuwa wengi ni lazima mtasambaa sehemu mbalimbali na mtafanya shughuli za kila namna. Angalia Population ya China kisha linganisha na Marekani. China ni Bilion 1.4 wakati Marekani ni Milioni 3.3 tu. Hivyo usishangae kumkuta mchina akigema Ulanzi kule Njombe
population ya marekani ni 345M
 
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole

Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.

Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.

Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.

Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.

Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST

Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.

Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.

Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.

Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.

Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
Tushukuru linatuhusu nini sisi USA?
Ebu iombee Tanganyika kwanza ndo tuamin upo deep.
 
Mnapokuwa wengi ni lazima mtasambaa sehemu mbalimbali na mtafanya shughuli za kila namna. Angalia Population ya China kisha linganisha na Marekani. China ni Bilion 1.4 wakati Marekani ni Milioni 3.3 tu. Hivyo usishangae kumkuta mchina akigema Ulanzi kule Njombe
Sisi tuko wengi kuliko Wakenya lakini Wakenya wamesambaa sehemu mbalimbali duniani kuliko sisi.
 
Mnapokuwa wengi ni lazima mtasambaa sehemu mbalimbali na mtafanya shughuli za kila namna. Angalia Population ya China kisha linganisha na Marekani. China ni Bilion 1.4 wakati Marekani ni Milioni 3.3 tu. Hivyo usishangae kumkuta mchina akigema Ulanzi kule Njombe
Population yenu izingatie na raslimali
 
In Gold, Oil and Diamond (GOD) We trust.
Take gold, oil and diamond from all over to the word and store in the US.
BP (matank ya mafuta baharini)
The treasure (gold and diamond).

Unajua stock kubwa ya gold ipo the bank of London, UK?

Una habari US inachimba mafuta kuliko Saudi Arabia? So saying wanachukua mafuta from all over doesn't make any sense.

Una habari diamond can be made from the lab na hakuna haja ya kuchukua nyingine from anywhere?

Jielemishe kabla ya kutema upupu. Hizo story za vijiweni mnazomezeshana vijiweni ni ujinga.
 
Back
Top Bottom