CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mistake kubwa inayo tukabili katika maisha ni kufuata Dream za watu wengine au kufuata njia za wanako pita wengine, watu wengi tumekuwa tunafuta mikumbo ilimuradi kitu tunacho fuata kinafanywa na wengine,
Katika chochote kila unacho taka kufanya jiulize mwisho wake ni upi? je 5 to 10 years nitakuwa wapi na hiki ninacho taka kufanya? Dont follow others but creat your own path.
Tumekuwa hatufanikiwa kwa sababu tunafuta upepo unako elekea, na si kule ambapo upepop hauelekei, the big mistake.Leo hii mimi nikija na wazo la kukamua maziwa ya paka kesho kila mtu atataka awe na paka ili akaumue maziwa, this is very big mistake,
Jiulize je ndoto zako ni zipi? na katika maisha usifanye mambo kwa zima moto wala usifuate mkumbo hata siku moja, fanya kile unacho penda na kile ambacho unaota kufanya siku zote, kamwe usifanye kile wanacho ota watu wengine.