In life, try to create your own path

In life, try to create your own path

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Mistake kubwa inayo tukabili katika maisha ni kufuata Dream za watu wengine au kufuata njia za wanako pita wengine, watu wengi tumekuwa tunafuta mikumbo ilimuradi kitu tunacho fuata kinafanywa na wengine,

Katika chochote kila unacho taka kufanya jiulize mwisho wake ni upi? je 5 to 10 years nitakuwa wapi na hiki ninacho taka kufanya? Dont follow others but creat your own path.

Tumekuwa hatufanikiwa kwa sababu tunafuta upepo unako elekea, na si kule ambapo upepop hauelekei, the big mistake.Leo hii mimi nikija na wazo la kukamua maziwa ya paka kesho kila mtu atataka awe na paka ili akaumue maziwa, this is very big mistake,

Jiulize je ndoto zako ni zipi? na katika maisha usifanye mambo kwa zima moto wala usifuate mkumbo hata siku moja, fanya kile unacho penda na kile ambacho unaota kufanya siku zote, kamwe usifanye kile wanacho ota watu wengine.

a4zjbnyceaa_0tx-jpg-large.jpeg
 
asante kwa ushauri. Pia edit kichwa cha mada yako
 
Kufuata yale wanayofanya wengine sio vibaya sana endapo utafanya kwa namna yako ya tofauti. Jambo lililopo laweza kuwa jipya likifanywa kwa namna ya kipekee (inovative and creatively). Maana unaweza ukakamua maziwa ya paka ukakosa mteja, ila ukipata wateja mwenzio atakuja na mtindo bora wa kumkamua paka huyohuyo, ndio ushindani huo.
 
Well said all.
Ni raha iliyoje kufanya kitu unachopenda/ukiwazacho kutoka chini ya sakafu la moyoni hata kiwe kigumu na changamoto lukuki. Kufanya ukiwazacho ndicho kinachokuelezea wewe nani, nini unafikiri na wapi unaelekea na jamii itakuelewa na kukuheshimu. Ni ngumu lkn inawezekana. Kuna haka kamsemo ka 90/10 kwamba 90% ya uchumi wa dunia unamilikiwa na 10% ya watu wote duniani na asilimia 90 ya binadamu wote wanamiliki asilimia 10 tu ya uchumi wote wa dunia hii trend ipo hiv hiv mpaka ktk nchi moja moja. Ni jukumu letu kuchagua tuwe wapi!!!
 
Back
Top Bottom