Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
kwani hatutafanya kazi...!?leo nimeamini kama kweli watz ni wavivu na hawapendi kazi, jamani siku 7 zote, na hakuna anayelalamika, na nchi yetu masikini ya mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hatutafanya kazi...!?leo nimeamini kama kweli watz ni wavivu na hawapendi kazi, jamani siku 7 zote, na hakuna anayelalamika, na nchi yetu masikini ya mwisho
Tukopamoja mkuu.....maana nakumbuka hata zile siku 30 za mwl JKN watu walifanya kazi auMaombolezo siyo maana watu wasifanye kazi... Maombolezo ni kutoa heshima kwa kiongozi mkuu kama huyu aliyetumikia taifa kukumbukwa...Nashauri tufanye kazi kwa bidii na maarifa wakati huu wa maombolezo na baadaye katika kumuenzi Simba wa vita...
Tunamsubiri mtabiri wetu yahaya atueleze kama hii nayo ni kafara nyingine au kafara ni kafiri tu.
Wakuu kwani hatuna mwongozo wa siku za maombolezo ya kitaifa? Wataalam wa itifaki naombeni mwongozo
Pumzika kwa amani Simba wa Vita!
hao ndio watanzania halisi holiday yenye malipo kuombolezaDuu watu kweli wavivu.....Mlipanga kuwe off week nzima....
Tovuti,siku saba??? nyingi sana, atleast wangefanya siku 3, nchi tajiri na zilizoendelea they dont do these things
Siku ya maziko yake inatakiwa tukae nyumbani ili tuomboleze kuondokewa na mzee wetu. Kama Nyerere alivyokuwa huyu mzee alikuwa muadilifu kweli kweli. Hana chembe ya ufisadi wala tamaa ya madaraka. Kama mwenzake alikaa kijijini Madale au Kiluvya akijishughulisha na kilimo.
Tunaomba Mungu aiweke roho ya mpendwa wetu mzee RMK mahali pema peponi Amin.
RIP mzee RMK
leo nimeamini kama kweli watz ni wavivu na hawapendi kazi, jamani siku 7 zote, na hakuna anayelalamika, na nchi yetu masikini ya mwisho