In my shoes cha Wema Sepetu on air soon

Paula kilaki

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,909
Reaction score
1,290
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema live bila chenga huko Insta.

Mara oooh kamdhalilisha mara hampendi lakini dawa ya jipu ni kulitumbua Wema alibweteka akapitiliza lakini baada ya michano madame ametulia na brain yake sasa imeanza kufanya kazi.

She is back on line and soon tarajieni mazuri toka kwake IN MY SHOES SEASON II ipo jikoni what a good news for her fans?
 
Another new episode ya Wema...sijui season ya ngap hii.....
 
so what????????QUOTE=Paula kilaki;10738628]Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,
lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli
juzjuz hapa watu walimfungia diamond kibwebwe na matusi kibao
kisa kumpa za uso wema live bila chenga huko Insta.
mara oooh kamdhalilisha mara hampendi
lakini dawa ya jipu ni kulitumbua
wema alibweteka akapitiliza
lakini baada ya michano madame ametulia na brain yake sasa imeanza kufanya kazi.
she is back on line and soon tarajieni mazuri toka kwake
IN MY SHOES SEASON II ipo jikoni
what a good news for her fans????[/QUOTE]
 
Wivu ni ugonjwa mbaya sana tena hauna dawa. Kungekuwa na hospitali ya wivu ningekuelekeza uende.
Pole sana.
hata ni share kitanda kimoja na WEMA mpini husimami,

hutaki unachaa sirudi tena
 
Hongera zake.
 
[/QUOTE]

kwi kwi kwi kwi kwi! kama nakuona ulivyonikazia macho, unauliza so what???? ni so that!!!
 
Wivu ni ugonjwa mbaya sana tena hauna dawa. Kungekuwa na hospitali ya wivu ningekuelekeza uende.
Pole sana.

Best siio kila kitu wivu ni mtazamo wake tu kutofautiana ni kawaida sana hata huwa haihusishi wivu ingekua hivo si pangekuwa pana chimbika na tusingeelewana
 
Best siio kila kitu wivu ni mtazamo wake tu kutofautiana ni kawaida sana hata huwa haihusishi wivu ingekua hivo si pangekuwa pana chimbika na tusingeelewana

Yaan kila kitu wasifiwe utafikiri Wema malaika Mungu mwenyewe anachukiwa na kupewa mawazo tofauti sembusee kibaraka wema aiiii
 
Yaan kila kitu wasifiwe utafikiri Wema malaika Mungu mwenyewe anachukiwa na kupewa mawazo tofauti sembusee kibaraka wema aiiii

Mwenyewe nashangaa kila kilicho na kizuri pia kina kasoro sasa wengine hata hawaoni tatizo mtu usiposifia aki takacho wanaanza ooh wivu haters mi huwa nashindwa hata kuelewa ni kupenda hadi kujitoa ufahamu au kuna la ziada mtu akifanya vizuri tunam sifia na kumpongeza akikosea lazima aambiwe sasa wakiona hivo wanaanza ooh hater huwa nashindwa kuelewa
 

Utawaweza team visokolokwinyo kujipendezaa kwingii hapo roho zinawadunda wanatamani nao wapewe hata kibaiskel hawajui mwenyekiti wao yupo location
 
Eti [MENTION=193860]Dinazarde warumi anarudi lini jamani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…