Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema live bila chenga huko Insta.
Mara oooh kamdhalilisha mara hampendi lakini dawa ya jipu ni kulitumbua Wema alibweteka akapitiliza lakini baada ya michano madame ametulia na brain yake sasa imeanza kufanya kazi.
She is back on line and soon tarajieni mazuri toka kwake IN MY SHOES SEASON II ipo jikoni what a good news for her fans?