In the loving memory of Bi Kidude

In the loving memory of Bi Kidude

cageclay

Senior Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
121
Reaction score
35
1396586375565.jpg
 
Mungu amrehemu huko aliko gwiji huyu wa muziki wa mwambao.Mungu alimjalia rehema nyingi huyu mama.Kwenye umri mkubwa aliokuwa nao, Bi Kidude hakuipoteza sauti yake wala kumbukumbu yake.Aliimba kwa bashasha bila kusahau maneno kwenye beti za nyimbo, na uzee wake ulionekana kwenye uso tu na si penginepo! Asante Mungu kwa zawadi hii ulotuletea na kuichukua pale ilipoanza kunoga. RIP Bi Kidude!
 
Fatma binti baraka mungu amrehem napenda nyimbo zake hahhahaah uhai wake umkute katika mirando yake hajavaa viatu na hayo maneno yake moja mzigo...



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hivi kuna juhudi zozote zinafanyika kuenzi kazi za huyu mama at least hata documentary na nyumba ya makumbusho ya Bi kidude ambamo humo kitatunzwa kila kitu kinachohusiana naye???
 
Back
Top Bottom