Mungu amrehemu huko aliko gwiji huyu wa muziki wa mwambao.Mungu alimjalia rehema nyingi huyu mama.Kwenye umri mkubwa aliokuwa nao, Bi Kidude hakuipoteza sauti yake wala kumbukumbu yake.Aliimba kwa bashasha bila kusahau maneno kwenye beti za nyimbo, na uzee wake ulionekana kwenye uso tu na si penginepo! Asante Mungu kwa zawadi hii ulotuletea na kuichukua pale ilipoanza kunoga. RIP Bi Kidude!