CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .
Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .
Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki
Hao hao wanaoteka, kutesa, kubambikia kesi za uongo na kuuwa wananchi wasio na hatia?!CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .
Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .
Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki
Yaan sasa hakieleweki kinataka nini aisee....Mambo shaghalabaghalaNasikitika kukwambia hili, kwa haya yanayoendelea hiko chama, kilishajichimbia kaburi nasasa kinajizika taratibu. Kitajifia chenyewe, hakuna lenye mwanzo, lisilo na mwisho.
Dhambi ya akina Nape ni kusema UKWELI maana hicho ndo hufanyika kwenye chaguzi zote na hakuna asiyejua hilo.CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura
Ujinga na upumbavu kabisa. wewe unaona tulipaswa tuwe hapo hadi leo hii?Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .