In the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .

Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .

Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki
 
Anayeibeba CCM iwepo hapo ni magiant ya kiasasa wakifa hao na chama kinakufa watakosa kiranja lazima wayumbe kwa uroho wa madaraka wao kwa wao.............
 
CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .

Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .

Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki

Haikamatiki ikishindana na vyama gani?

Vyama hivi vya tadea demokrasia makini ?

Mpaka sasa hawakamatiki by far
 
Ni kweli. Maana miaka 10 ijayo ccm watakuwa mtaani wanaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi.
Hawatakamatika kama wanavyokamatika waandamanaji wa sasa
 
Utake maendeleo makubwa kiasi hicho afu upunguziwe kodi uko serios Kweli?
 
CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .

Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .

Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki
Hao hao wanaoteka, kutesa, kubambikia kesi za uongo na kuuwa wananchi wasio na hatia?!

Hao hao mafisadi na wezi wa mali ya umma?

Hao hao wezi wa kura wasioheshimu matakwa ya umma kwenye sanduku la kura?

Chumvi ikishaoza haina dawa, haikarabatiwi.
Inatakiwa kutupwa tu
 
Kama unaamini ccm itakuwa hivyo unavyotamani ndani ya hiyo miaka 10, nenda kaangalie idadi ya watu wanaojitokeza kujiandikisha baada ya chaguzi kuchezewa na ccm, kisha uje utoe mrejesho hapa.
 
Nasikitika kukwambia hili, kwa haya yanayoendelea hiko chama, kilishajichimbia kaburi nasasa kinajizika taratibu. Kitajifia chenyewe, hakuna lenye mwanzo, lisilo na mwisho.
Yaan sasa hakieleweki kinataka nini aisee....Mambo shaghalabaghala
 
CCM kazi wanayoijua kwa ufanisi mpaka watapewa medal ya. Kimataifa na.kuandikwa kwenye Guinness book ni "wizi wa kura" vingine vyote kafanya mama samia wao wenyewe hawawezi kunywa kumpongeza wakati hapa.nimetoka.kulipa kodi alafu sipongezwi mimi mwanamchi wanampongeza Mama Samia katoa mfukoni mwake yaani namsubiri mbunge wangu nimwulize yeye kafanya nini
 
Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .
Ujinga na upumbavu kabisa. wewe unaona tulipaswa tuwe hapo hadi leo hii?
wewe umesema miaka kumi yote hiyo miaka 5 tu ijayo tutakuwa tumeshanunuliwa hadi raia hatuna chetu
 
CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .

Leo kila hospitali ya mkopa ina CT scan ,ina madakitari bingwa.soon hospitali za wilaya itakuwa na mabingwa.tumeanza na madaktaru wa Samia .

Chama kisimamie miundo mbinu kama barabara,vivuko,SGr ,ndege,shule na mahospitali na utiaji wa haki kwa wananchi.then tupunguze Kodi kwa wananchi.in the next 10 years CCM itakuwa haikamatiki

Kwa mwandiko huu ndugu yangu unakula ela ya bure Tu 😂
 
Back
Top Bottom