GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pole sana Mkuu. Utapona tu.Niko hoi hapa tena yote 2
Nimecheka mno Mkuu.kwahiyo Genta sie huku wabeba boksi nasisi tuko kwenye hiyo orodha yako ama ni kwa huko maandamanoni tu? nakumbuka wakati wa COVID majamaa mpaka yakaniita mchawi maana watu wameugua wengine wamededi kwa maelfu lakini mwamba bado nadunda tu hata mafua sina ashukuriwe Mungu kwa kutupa mikinga hii mikubwa kama maji ya betri, na kikubwa hata kuchanja tuligoma lakini tumo tu.
Hakika Mkuu. Yaani Mimi nimezungukwa na Waumwa hayo Macho na kila Siku tu ninao na kuna Mademu Wawili nimewabandua na huo Ugonjwa tena kula nao Denda lakini wala sijaupata na Kesho ( Leo ) baadae Mchana nategemea Kumbandua mwingine nae ana hilo hilo tatizo la Kuugua Macho.Mungu ni mwema sana
Tuna Kinga Kali sana, tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu anatupenda na ana Kusudio jema nasi hapa duniani.Haihusiani mimi domitory nipokuwa shule cube yangu wote walpata red eyes na mm ndo nikawa nawapeleka chakula.
Ikaisha hiyo ikaja ile ya kupata vipele vinawasha mwili mzima, cube nzima ilipata ule ugonjwa muda wote wapo vifua wazi na wanalala tu dom mimi ndo nikawa nawapeleka chakula.
Hilo tatizo halipunguzi utamu?Hakika Mkuu. Yaani Mimi nimezungukwa na Waumwa hayo Macho na kila Siku tu ninao na kuna Mademu Wawili nimewabandua na huo Ugonjwa tena kula nao Denda lakini wala sijaupata na Kesho ( Leo ) baadae Mchana nategemea Kumbandua mwingine nae ana hilo hilo tatizo la Kuugua Macho.
Natamani ungeona nilivyovitaja kwa hii Post yako Mkuu.Hilo tatizo halipunguzi utamu?
Na hata HIV nasikia inatuogopa na inatupitia mbali mno Mkuu wangu.Group O sisi hata Covid tulisavaivu kibishi.
Hakuwa Haruna Moshi Boban au Kelvin Yondani au Kibu Denis kweli huyo Mkuu?Duuuhi! nilimshuhudia mtu mwenye ugonjwa wa red eyes siku ya jumamosi,aisee kama kavuta msuba,macho yalikua mekundu sana.