Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo

Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?

Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?

Screenshot_20231220-121701.png

Screenshot_20231220-121726.png
 
Hizo timu ambazo hazimo top 10 ya CAF rankings taarifa zake hazifahamiki sana kwenye database za CAF.

Utopolo united ni klabu ya kijima na ni mwamvuli wa siasa za CCM Tanzania.

Haifahamiki sana [emoji23]
 
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo

Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?

Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?

View attachment 2847975

View attachment 2847974
Hizi ndio athari za kukosa lishe bora tangu utotoni
 
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo

Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?

Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?

View attachment 2847975

View attachment 2847974
Umeamua kujiabisha. Ingia website ya CAF kama hawajaweka logo ya Yanga.
Angalia ukurasa wao CAF unaona hiyo nembo ta Yanga.
IMG_20231220_125007.jpg
 
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo

Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?

Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?

View attachment 2847975

View attachment 2847974
Ignorance is bliss!
 
Hizo timu ambazo hazimo top 10 ya CAF rankings taarifa zake hazifahamiki sana kwenye database za CAF.

Utopolo united ni klabu ya kijima na ni mwamvuli wa siasa za CCM Tanzania.

Haifahamiki sana [emoji23]
😁😁
 
Subiri mechi 6 zikamilike anae weza kucheka sasa hivi ni ni ASEC Memosas tu wengine ni Mungu saidia
Mimi nimesema tu.
Tunaongoza ligi kutoka CHINI hayo mengine ni yako.
Ila kingine ninachojua wenzetu simba wapo nafasi ya 2 katika kundi Lao.na kwenye ligi ana VIPORO VYA KUSHIBA.
 
Back
Top Bottom