Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #21
Manara kweli alisema wenye akili ni wawili tuAcha udharaulike Si hauna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara kweli alisema wenye akili ni wawili tuAcha udharaulike Si hauna akili
Kwa hoja yako ni kuwa Asec Mimosa ni timu ndogo kwa Simba? Ujuaji mwingi ila maarifa safari.Kwa hiyo Google ndio hawaifahamu Logo ya Yanga ?
Mbona Ya Simba wanaifahamu wakati yanga imecheza fainali Shirikisho?
Kwa hiyo wewe unajiona una akili sana kusema Yanga haitambuliwi na CAF siyo.Manara kweli alisema wenye akili ni wawili tu
Kwa hiyo unakiri kuwa pia google hawana taarifa za kutosha za utopolo united?Yan ukiwa mbumbumbu ni mzigo. Hiyo ni google wewe
Wewe ndio Zaylisa?Manara kweli alisema wenye akili ni wawili tu
Ukishinda viporo unaongoza ligi si ndio?Mimi nimesema tu.
Tunaongoza ligi kutoka CHINI hayo mengine ni yako.
Ila kingine ninachojua wenzetu simba wapo nafasi ya 2 katika kundi Lao.na kwenye ligi ana VIPORO VYA KUSHIBA.
Sio kuongoza ligi tu.na kombe tunachukua.Ukishinda viporo unaongoza ligi si ndio?
Lakini wewe umesema CAF. Google hata wewe unaweza weka makala yako kama hujuiSawa, hata kama ni Google, ina maana hawaifahamu logo ya Yanga wakati imecheza fainali Shirikisho? Na kuvaa medali?
Asec ni timu ndogo kwa Simba, kuongoza kundi hakuifanyi kuwa kubwaKwa hoja yako ni kuwa Asec Mimosa ni timu ndogo kwa Simba? Ujuaji mwingi ila maarifa safari.
Asec ni timu ndogo kwa Simba, kuongoza kundi hakuifanyi kuwa kubwa
Achana na historia za miaka 40 iliyopita, Kwa sasa Simba ni kubwa kuliko Asec ndio maana ilikuwa Super League na Asec haikuwepoHuijui asec wewe unalonya lonya tu,nafikiri mpira umenza kufatilia ukubwani
Enyimba na mazembe uko super cup walikuwa wana nini?Achana na historia za miaka 40 iliyopita, Kwa sasa Simba ni kubwa kuliko Asec ndio maana ilikuwa Super League na Asec haikuwepo
Aiseee...ushabiki upofusha, yaani ile Academy ya Asec Mimosa inayosifika barani Afrika yenye miundombinu kama ya Barca...Asec iliyotoa wachezaji mangwiji wa Soka Barani Ulaya, Asec hii iliyotua CAF Champion mwaka 1998 ndiyo unataka kusema kuwa Simba inaizidi....Asec yenye mataji 29 ya ubingwa wa ligi ya kwao Ivory coast.Achana na historia za miaka 40 iliyopita, Kwa sasa Simba ni kubwa kuliko Asec ndio maana ilikuwa Super League na Asec haikuwepo
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo
Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?
Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?
View attachment 2847975
View attachment 2847974
Mzee aliyekudanganya ukubwa wa Club unapimwa kwa chipukizi wa academy ni nani?Aiseee...ushabiki upofusha, yaani ile Academy ya Asec Mimosa inayosifika barani Afrika yenye miundombinu kama ya Barca...Asec iliyotoa wachezaji mangwiji wa Soka Barani Ulaya, Asec hii iliyotua CAF Champion mwaka 1998 ndiyo unataka kusema kuwa Simba inaizidi....Asec yenye mataji 29 ya ubingwa wa ligi ya kwao Ivory coast.
Au wewe kwako timu kubwa unatumia vigezo gani kuitambua
Brand kubwa hizo mzee...au umeanza kushabikia mpira juzi hujui ukubwa wa Mazembe na Enyimba?Enyimba na mazembe uko super cup walikuwa wana nini?
Unaijua vizuri asec? Tafuta data za asec ukishindwa niambie nikupeBrand kubwa hizo mzee...au umeanza kushabikia mpira juzi hujui ukubwa wa Mazembe na Enyimba?
Mwaka 2006 alitingi final ya caf je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?Brand kubwa hizo mzee...au umeanza kushabikia mpira juzi hujui ukubwa wa Mazembe na Enyimba?
Mp- match played maanayake idadi ya mechi walizo chezaUkicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo
Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?
Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali iweje logo yao hawaifahamu?
View attachment 2847975
View attachment 2847974