Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

Kwa hiyo Google ndio hawaifahamu Logo ya Yanga ?

Mbona Ya Simba wanaifahamu wakati yanga imecheza fainali Shirikisho?
Kwa hoja yako ni kuwa Asec Mimosa ni timu ndogo kwa Simba? Ujuaji mwingi ila maarifa safari.
 
Mimi nimesema tu.
Tunaongoza ligi kutoka CHINI hayo mengine ni yako.
Ila kingine ninachojua wenzetu simba wapo nafasi ya 2 katika kundi Lao.na kwenye ligi ana VIPORO VYA KUSHIBA.
Ukishinda viporo unaongoza ligi si ndio?
 
Kwa hoja yako ni kuwa Asec Mimosa ni timu ndogo kwa Simba? Ujuaji mwingi ila maarifa safari.
Asec ni timu ndogo kwa Simba, kuongoza kundi hakuifanyi kuwa kubwa
 
Huijui asec wewe unalonya lonya tu,nafikiri mpira umenza kufatilia ukubwani
Achana na historia za miaka 40 iliyopita, Kwa sasa Simba ni kubwa kuliko Asec ndio maana ilikuwa Super League na Asec haikuwepo
 
Achana na historia za miaka 40 iliyopita, Kwa sasa Simba ni kubwa kuliko Asec ndio maana ilikuwa Super League na Asec haikuwepo
Aiseee...ushabiki upofusha, yaani ile Academy ya Asec Mimosa inayosifika barani Afrika yenye miundombinu kama ya Barca...Asec iliyotoa wachezaji mangwiji wa Soka Barani Ulaya, Asec hii iliyotua CAF Champion mwaka 1998 ndiyo unataka kusema kuwa Simba inaizidi....Asec yenye mataji 29 ya ubingwa wa ligi ya kwao Ivory coast.
Au wewe kwako timu kubwa unatumia vigezo gani kuitambua
 

Ushiriki wake hafifu haina ubavu wa kuwekewa logo kama miamba ya Simba na vigogo wengine!
 
Mzee aliyekudanganya ukubwa wa Club unapimwa kwa chipukizi wa academy ni nani?

Ukubwa wa Club unapimwa kwa mafanikio ya senior team kwenye mashindano ya kimataifa.... ukiweza ku retain chipukizi wako na kuwatumia kwenye timu ya wakubwa na wakuletea mafanikio uwanjani ndio unakuwa timu kubwa
 
Brand kubwa hizo mzee...au umeanza kushabikia mpira juzi hujui ukubwa wa Mazembe na Enyimba?
Mwaka 2006 alitingi final ya caf je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
2002 walifika semi final je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
Mwaka 1998 wakachukua kombe la caf je nyie makolo mmewahi kuchukua ilo kombe?

Didier Drogba, Solomon kalou,emanuel eboue, yay toure,kolo toure, yao gervihno,bakari kone,bone ventura kalou hao wote ni zao la asec mimosas..nionyeshe zao la wachezaji wa simba waliotamba ulaya.
Sio ulaya hao jamaa wametamba katika club kubwa eg arsenal,Manchester city,Barcelona, ac Milan,bayern Munich na Chelsea.

Nyie makolo kufuzu makundi mnaleta habari zenu za ajabu ajabu hapa.
Sema kitu gani ambacho mmewazidi asec mimosas academy
 
Mp- match played maanayake idadi ya mechi walizo cheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…