Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Ni kweli nimeshawahi kuwa UVCCM, ila kwa umri wangu sasa mm ni wa Jumuia ya Wazazi. Hata hivyo nashukuru sana kuitwa zezeta na mwehu ndamaUvccm wengi shule ni nehiii, Kwanza wew zezeta kuandika tu, hujui, unafunganisha maandishi kama utumbo..bila shaka ubongo wako umebeba kimba..who are you??
Hananja na sharif majini walisemaga hivii hivii...ila haikuwa kherii kwao..Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Ina maana tukose wote. Wao wanaiba na kujineemesha wao na familia zao na sisi tunazidi kuwa masikini.Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.

Naunga mkono hojaAcha tufurahi tu, mtuibie uchaguzi, mtuteke,mtuue na mtupangie cha kufurahia?
Acha tufurahi tu, mtuibie uchaguzi, mtuteke,mtuue na mtupangie cha kufurahia?