Ina maana gani hasa Mtanzania kufurahia vikwazo vya kimataifa kwa nchi yetu?

Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Watu wapuuzi kama wewe, kuna siku mtajutia sana kuwa sehemu ya kundi la uovu wanaofanyiwa waTanzania.

Mtu unajitangaza kabisa wewe unayo elimu ya kutosha, halafu unakuwa na akili za kipuuzi kabisa kama hizi?
 
View attachment 3511320
Lengo la kufurahia ni kutaka mambo ya aina hii yakomeshwe, kama polisi wa Samia wanafanya unyama huu naye anasema ni lazima ufanyike ili kiti chake kiendelee kuwa salama ni bora tupite kwenye tanuru la moto kama ndiyo njia pekee iliyobaki.
We don't have much options, so whatever it takes it okay with us. It's gonna be a hard phase but it'll pass.
Aise huu unyama uliotendeka sio wa kusameheka kamwe.
 
Mkuu maksi za sampuli hiyo sijawahi zipata. Otherwise nisingekuwa daktati sasa.
Huo udaktari hujui lolote; na hata huko kwenye siasa ni bure kabisa.

Watu kama wewe ni vikaratasi vya chooni tu vinavyotumiwa kusafisha uchafu.

Mtu hata huoni aibu kabisa, tena unajitambulisha waziwazi na kujionyesha mbele za watu. Heshima iko wapi kwa akili za namna hii?
 
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Kama Samia ndio baba yako na mama yako; kaa naye huko huko nyumbani kwenu. Samia siyo baba wala mama wa waTanzania

Samia hawezi kuwa ndiye anameshikilia hatma ya nchi hii kama huyo baba au mama yako huko nyumbani kwenu.
Wewe mtu unauenda wazimu kichwani mwako., hii siyo bure!
 
Hatujawahi kufaidika na hiyo misaada zaidi ya kuwaneemesha watu wachache. Wanaishi kifahari ktkt ya umasikini uliotopea.
Tumefukarishwa hadi tumefukarika, umasikini ndio umekuwa fahari yetu!
Watakao umia ni wao!
Masikini hafirisiki!
 
Muulize, matirilioni ya pesa za covid yalikwenda wapi? Atapata jibu kwanini watu wanaona ni bora tukose tu.
 
Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.

Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.

Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.

Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.

Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?

Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.

Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.

Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.

Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?

Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.

Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.

Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.

Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Umeandika maneno mengi lakini hayana maana yoyote. Vikwanzo ndivyo vinavyotia adabu watawala hasa wanajifanya miungu kwa wananchi wao.

Ngoja nikutajie vitu vitatu vinavyoweza kuiangusha Serikali yeyote duniani inayodharau watu wake
Administrative Paralysis
Political Paralysis
Public resistance Paralysis
 
Misaada inayo nunua lambogini na bugart za watoto wa watawala zinatusaidia nini walipa kodi?

Tunapofurahia ni pale mnapokosa na nyinyi.

Misaada ina lipa magori ya mama, mi saada inafanya ccm wanatutukana kwamba tuna wivu.

Imagine mkikosa misaada halafu nasi tusipolipa kodi unadhani nani ataathirika?

Ni ccm ambao hula kwa urefu wa kamba, sisi waokota makopo misaada inatusaidia lini, hatuna v8, hatuna bima ya aina yoyote, na hatutegemei petroli wala diseli kwenda kuokota makopo.

wakati vibaka wa ccm mtaathirika kwanini tusifurahie nanyie mnapopungukiwa?

Sisi waokota makopo hatuli milo mitatu, kwanini tusifurahi nanyi mkipiga miayo hata kwa kukosa mlo mmoja?
 
Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.

Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.

Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.

Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.

Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?

Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.

Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.

Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.

Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?

Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.

Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.

Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.

Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Changamoto kubwa iliyopo ni kwamba maneno anayozidi kutamka yanaibua chuki na hasira zaidi badala ya kupooza mioyo ya watu yeye anaongeza pili pili kwenye kidonda na haoneshi kujali

Uko sahihi kua yeye hataweza kuathirika Sasa hivi ila Nina hakika yeye ndio atakaye athirika zaidi mwishoni atakapo filisiwa na kusimama kizimbani pale ICC
 
Yaani pimbi wala nyasi kama nyie mnakera! Huyo mazeri wako amemuomba msamaha nani? Si alisema ati anatamani atutupe nje ya nchi yetu? Si alisema ati wanaolia kisa ndugu zao wameuawa eti wangewazuia wasiandamane? Huyo mazeri wako wa michambo ana kiburi na dharau sana!
 
Yaani mtu apate ukimwi yeye halafu dawa tumuonee Sisi huruma
Huo ni mfano mmoja, usisahau chanjo za watoto, matibabu ya wajawazito pamoja na dawa za malaria na kifua kikuu zipo kwenye vertical programs zinazofadhiliwa na wahisani.
Hata hivyo msimamo kama wako hauna afya katika dunia ya sasa tunayopigania kutokomeza unyanyapaa.
 
Umeandika maneno mengi lakini hayana maana yoyote. Vikwanzo ndivyo vinavyotia adabu watawala hasa wanajifanya miungu kwa wananchi wao.

Ngoja nikutajie vitu vitatu vinavyoweza kuiangusha Serikali yeyote duniani inayodharau watu wake
Administrative Paralysis
Political Paralysis
Public resistance Paralysis
aisee we pimbi mwebrania leo umeongea point kabisa!
 
Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.

Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.

Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.

Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.

Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?

Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.

Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.

Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.

Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?

Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.

Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.

Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.

Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.

..wanaochochea Tanzania iwekewe vikwazo ni Mama Abduli na genge lake linaloteka, kutesa, na kuuwa, wakosoaji, wanaharakati, na wapinzani.
 
KUNA HAJA GANI SERIKALI KUUA NA KUTEKA HOVYO RAIA WAKE?
 
Back
Top Bottom