Dr msomi sijui una PhD whatever. Ngoja mimi muuza genge hapa Mabibo nikujibu kwa mfano unaoendana, huo mfano wako hauendani na kilichotokea.Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Tunafurahia kama wao wanavyofurahia utekaji,mauaji,kubambikia watu kesi na uchaguzi wa magumashi.Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Mbona nyinyi wenzetu mnafurahia kuwafunga, kuwateka, kuwatesa na kuwaua wapinzani/wakosoaji wenu? Mnawanyima haki zao za msingi kwa makusudi!Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Who are you????Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.

Ndugu embu soma ¾ ya comment za watu halafu uwaulize je ni nini kimewafanya wayaandike hayo waliyoyaandika, na je ifanyike nini ili ikawe baraka kwao na taifa kwa ujumlaTukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Tena tukasema juzi " vihela vyenyewe mnavyotupa vidogooooo, tena hamtupi tunapeana"🤣🤣🤣🤣Si tulikubaliana Tanganyika ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyungi sasa kwanini tunapitisha vibakuli kwa wazungu
Iwapo taifa limekosa akili ya kujisaidia lenyewe katika mazingira ya kutengenezwa na Mtanzania mwenyewesi bora tu inyeshe anyeshewe hadi akili imrudie kwenye mhimili wake!Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Kwanza kabisa mfano wako ulitakiwa kiwa wa mfanyakazi housegirl aliyetumia bajeti ya chakula kununua silaha na kukodi majambazi kuwaua watoto wa familia.Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
We kijana wewe tena mate chini🙌,Yaani mtu apate ukimwi yeye halafu dawa tumuonee Sisi huruma
Umelalia upande mmojaTukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Ulitaka tufurahie utekaji?Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Muda tatizo muda.. ukiwa Civics umekula Mswaki na Kiswahili umekula D huwezi kuelewa kuhusu muda.. muda umekwishaHili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Mkuu maksi za sampuli hiyo sijawahi zipata. Otherwise nisingekuwa daktati sasa.Muda tatizo muda.. ukiwa Civics umekula Mswaki na Kiswahili umekula D huwezi kuelewa kuhusu muda.. muda umekwisha
Aliepata marks hizo anajijua ni Daktari wa Mchongo..Mkuu maksi za sampuli hiyo sijawahi zipata. Otherwise nisingekuwa daktati sasa.