Watu wapuuzi kama wewe, kuna siku mtajutia sana kuwa sehemu ya kundi la uovu wanaofanyiwa waTanzania.Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Aise huu unyama uliotendeka sio wa kusameheka kamwe.View attachment 3511320
Lengo la kufurahia ni kutaka mambo ya aina hii yakomeshwe, kama polisi wa Samia wanafanya unyama huu naye anasema ni lazima ufanyike ili kiti chake kiendelee kuwa salama ni bora tupite kwenye tanuru la moto kama ndiyo njia pekee iliyobaki.
We don't have much options, so whatever it takes it okay with us. It's gonna be a hard phase but it'll pass.
Okay tufanye ni daktari wa mchongo, pale kibaha sekondari pia nilipita kimichongo?Aliepata marks hizo anajijua ni Daktari wa Mchongo..
Huo udaktari hujui lolote; na hata huko kwenye siasa ni bure kabisa.Mkuu maksi za sampuli hiyo sijawahi zipata. Otherwise nisingekuwa daktati sasa.
Mkuu uwe unajua kusoma namzungumzia Dokta Samuya ulisoma nae pale Kibaha Sekondari?Okay tufanye ni daktari wa mchongo, pale kibaha sekondari pia nilipita kimichongo?
Kama Samia ndio baba yako na mama yako; kaa naye huko huko nyumbani kwenu. Samia siyo baba wala mama wa waTanzaniaHili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Hatujawahi kufaidika na hiyo misaada zaidi ya kuwaneemesha watu wachache. Wanaishi kifahari ktkt ya umasikini uliotopea.
Tumefukarishwa hadi tumefukarika, umasikini ndio umekuwa fahari yetu!
Watakao umia ni wao!
Masikini hafirisiki!
Umeandika maneno mengi lakini hayana maana yoyote. Vikwanzo ndivyo vinavyotia adabu watawala hasa wanajifanya miungu kwa wananchi wao.Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Ndiyo Samia huyo na henchmen wake.Aise huu unyama uliotendeka sio wa kusameheka kamwe.
Changamoto kubwa iliyopo ni kwamba maneno anayozidi kutamka yanaibua chuki na hasira zaidi badala ya kupooza mioyo ya watu yeye anaongeza pili pili kwenye kidonda na haoneshi kujaliTukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
Huo ni mfano mmoja, usisahau chanjo za watoto, matibabu ya wajawazito pamoja na dawa za malaria na kifua kikuu zipo kwenye vertical programs zinazofadhiliwa na wahisani.Yaani mtu apate ukimwi yeye halafu dawa tumuonee Sisi huruma
aisee we pimbi mwebrania leo umeongea point kabisa!Umeandika maneno mengi lakini hayana maana yoyote. Vikwanzo ndivyo vinavyotia adabu watawala hasa wanajifanya miungu kwa wananchi wao.
Ngoja nikutajie vitu vitatu vinavyoweza kuiangusha Serikali yeyote duniani inayodharau watu wake
Administrative Paralysis
Political Paralysis
Public resistance Paralysis
Hivi Hananja nae ame-perish?Hananja na sharif majini walisemaga hivii hivii...ila haikuwa kherii kwao..
Kijana wake alipata matatizo siku ya 29october kajeruhiwa na marisasi ingia YouTube utapata more info kutoka KWAKE mwenyewe..Hivi Hananja nae ame-perish?
Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na familia.
Fikiri kwamba imetokea sintofahamu nyumbani kwenu, ambapo mzazi ametenda jambo ambalo baadhi ya wanafamilia hamkubaliani nalo, kwamfano kaiweka reheni nyumba ya familia ili kupata mkopo kwaajili ya starehe zake binafsi.
Baada ya mambo kuharibika akawaiteni kitako, akakiri amekosea, akamwaombeni mama yenu aseme hakutoa idhini ilimradi tu nyumba yenu mnayoishi isalimike.
Katika mazingira kama hayo ndugu yenu mmoja akatoka kuwapa taarifa bank wanaomdai mzazi wako juu ya kikao chenu, nakuwapa bank mbinu ya kufanikisha kuuza hiyo nyumba yenu kwa lengo la kumkomoa huyu mzazi kwa ufujaji mali alioufanya. Wewe kama sehemu ya familia iliyopatwa na mkasa kama huu, utakuwa na maoni gani?
Kisa hiki kina shabihiana sana na hali ya nchi yetu kwa sasa. Mpaka sasa hatubishani tena kuwa watu waliuawa, walijeruhiwa, walipoteza mali na miundombinu iliharibika.
Hili lilitokea, na hatuwezi kulifuta hata tukilaumiana vipi. Lakini kwa hali ilivyo, linaelekea kutuletea madhara makubwa zaidi tuendako mathalani kuzuiliwa kwa baadhi ya misaada ambayo kwakweli ni kichocheo cha ustawi wetu.
Chukulia sekta ya afya kwa mfano; huduma nyingi tunazipata kupitia wahisani kupitia busket fund na miradi mingine. Ikitokea nchi yetu ikakosa misaada hii ni wazi kuwa sekta kama ya afya zitatetereka sana na kuna hatari ya kuwapoteza ndugu zetu kama vile wanaoishi na VVU kwa kukosa dawa.
Sasa hawa wenzetu wanaofurahia maazimio hasi yanayofanywa na mataifa wahisani kwa makosa tuliyoyafanya Octoba 29, wanatofautiana vipi na mtoto anaeshirikiana na wadai wa baba yake kuuza nyumba ya familia kwa lengo la kumkomoa huyo baba yake?
Katika maisha tunatakiwa kujifunza kusamehe na kuendelea mbele hata kama hao tunaodhani wametukosea ni wajeuri. Kesho yetu ni bora kuliko jana, kama tunayo dhamira ya dhati ya kuifanya kesho yetu kuwa bora tunaowajibu wa kulipa gharama ya kuachilia mambo mengine yatupite.
Waingereza wanamsemo wao kuwa, tukimrushia mawe kila mbwa anayetubwekea hatutafika safari yetu.
Sio lengo langu, kumtetea mtu au kumlaumu mtu katika makala yangu, Shabaha yangu ni kuwasihi ndugu zangu kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kauli na vitendo vyetu.
Vikwazo vikiwekwa dhidi ya nchi yetu Rais Samia atakuwa wamwisho kuathirika. Hakuna siku Rais hatalala, hatakula au hatatibiwa kwasababu nchi ina hali mbaya.
Yatakayotupata hayo ni sisi masikini wa nchi hii. Kama tukilijua hilo sidhani kama tutashabikia maazimio hasi ya kimataifa yanapofanywa dhidi ya nchi yetu.
KUNA HAJA GANI SERIKALI KUUA NA KUTEKA HOVYO RAIA WAKE?Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.