Ina maana gani hasa Mtanzania kufurahia vikwazo vya kimataifa kwa nchi yetu?

Kama ni hivyo sawa tu, utawala mwenyewe haramu, kwa jeuri waliyonayo iwe zaidi ya hapo.
 
Devil is a devil,
huyo anashurutisha watu waandamane kwa wingi wakafe huko ni shetani tu.
Anatoka hapo bongo tunamuona kamtapeli huyo mzungu poyoyo apate visa.
Mnachekesha sana mnaposema ni Mmarekani,
Hana uraia US,
kimemuweka watoto tu wako under age.
Yule mume waliachana kitambo tu alipofika huko. Akaleta uzaramo wake mume katimka.
Huyu kagombana na ndugu zake akataka kuuza mali kule Africana.
Ikapigwa stop.
Leo Manyumbu mnapelekwa kuandamana kwa kuambiwa na hiyo taka.
Andamaneni ila muwe na ajenda,
Sio mfate hiyo takataka,Hana Umarekani wowote ni kanjanja tu.
"ICE wapo mda huu huko,na Trump kasema we are rubbish.
They better bring us where we came from"
Waswazi mnasema Mmarekani blaah blaaah.
Mtu hana category yoyote zaidi kuchuna vizee huko mitaani ndio nyie mnaambiwa tu ingieni mitaani for what?
Tumieni akili,
sikubaliani na yaliyotokea ila hili huyu mmarekani wenu famba akisema jana kwamba mkikaa nyumbani mtauliwa, mkitoka mtauliwa ndio unajua huyu ni shetani wa Aina gani
 
Kwani kuna vikwazo, mbona sijasikia
 
Who are you? kuitwa nchi ya Amani inavyurugwa na mtu mmoja na cycle yake tunamuangalia, hii nchi kisiki kinaweza kuwa rais na kikaogopwa kushauriwa.
 
Na wewe kwako ina maana gani fursa ea Tanzania kimataifa mkazitumia nyie na familia zenu na baadae kununua silaha kutuua kama wanyama ?
 
Kuna furaha gani Mtanzania kufurahia watanzania wenzake wakiuawa, wengine kuzikwa wakiwa mahututi na familia kukosa miili ya wapendwa wao kuisitiri.

Hata waliomuua Mesaya walikuwa na utu wa kukabidhi mwili ili familia ikauzike.
 
Ndio athari ya kutawaliwa na mkoloni. Mkoloni alishaondoka lakini kivuli chake kinasumbua watanzania.
Hawa wanaofurahia wanadhani kuwa hao wakoloni ndio wataiendeleza Afrika/TZ. Jitambueni!
 
Na utakuta kweli ni Dr kama anavyojinasibu
 
Hivi ina maana gani kwa mtanzania kufurahia mtanzania mwenzake kutekwa, kuuawa kisha kutupwa majini?.
 
TULE KWA JASHO ,kuiba fedha za wahisani hakuna madhara makubwa sana kwa uchumi tofauti na kuiba moja kwa moja pesa za walipa kodi.
 
Mzungu hakupata taabu kuitawala Afrika, alikuta kuna mamia kwa mamia ya machifu wenye utayari wa kuwauza watu wao kirahisi tu!.

Adui wa Mtanzania anaishi nae kila siku wanaamka na kwenda kulala kwenye nyumba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…