Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

maana yake marehemu ana kinyongo na wewe huko aliko haja rest in peace. omba toba kwaajili yake ili nafsi yake ipumzike

🫶
Asante , Marehemu kwua na kinyongo na mtu dalili zake ni zipi na ,ina maanisha nini kusema haja pumzika , yani huwa na patwa na nini kama haja rest in peace?
 
Je Marehemu anawezaje lipiza kisasi?
Ulimkosea nini? Yani kuna mambo yanahitaji walau kahistoria ili kupata majibu ya uhakika .....

Kama ukimtendea wema anakuja kukushukuru bila shaka hata ubaya atausimamia pia, mi binafsi nafsi yake ilirudi kwangu mara nyingi sana ila ilikua na ujumbe wa shukrani.
 
Huyu hana kazi za kifanya anataka sumbua marehemu
Mi nahisi kuna kitu alifanya sasa aliemtendea ubaya kavuta, possible mambo yake sahivi yanaenda ndivyo sivyo hivo anajaribu kuhusianisha mambo yake na mambo aliyomfanyia marehemu.

Afunguke tumsaidie kuna watu hapa tuna phd za hayo mambo sasa kama anafichaficha kuna siku marehemu atamkaba😁
 
Nimecheka kwa nguvu nyie
 
Back
Top Bottom