Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
- #41
AsanteRoho ya mauti inakufuatilia...
Omba Mungu akuepushe nayo...
Ukipuuza utakufa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteRoho ya mauti inakufuatilia...
Omba Mungu akuepushe nayo...
Ukipuuza utakufa...
Asipopuuza hatokufaRoho ya mauti inakufuatilia...
Omba Mungu akuepushe nayo...
Ukipuuza utakufa...
Sikuwai kuja waza kwamba nitakuja kuwa na metal breeakdown,kazi imekua ngumu sana kufanya ,nilikua ninaamini nina weza handle kila kitu ,ila kumbe hili kwangu ni pigo ambalo sikuweza lihimili ,asante sana kwa sasa naona niko kweli kwnye hatua ya kwanza ambayo inanipa ugumu sana ,kweli suidcidal thoughts zinakuja kila wakati huwa naona kama hakuna haja ya kuishi ninajitahidi sana kujaribu kukubali ila kila saa nina rudi nyuma ,kwa sasa ninajitahidi kuelewa hali na nitazingatia sana ushuri wako , asante sana na ubarikiwe.Mkuu kwanza pole kwa unayoyapitia naelewa inavyokuwa ngumu kuamini/kukubali kuondokewa na mpendwa wako.
Hatua 5 za mambo hayo ni kama hivi
1. Denial
2.Anger
3.Bargaining
4.Depression
5.Acceptance
Ukiangalia kwa undani naona uko bado hatua ya kwanza ambayo ni ngumu sana ila inahitaji tu umakini kufikia hatua zote tano maana sio mchezo.
Unahitaji kujitahidi kuuwezesha ubongo wako ukubali hadi kufikia hatua ya 5 ya kukubaliana tu na ni lazima maisha mengine yaendelee mkuu suicidal ideation usizipe nafasi kabisa japo ni kweli kuondokewa na mpendwa ni ngumu na haiwezekani kurudi assume ni kama umepata hitilifu ya gari kwenye tyre mwisho ukaamua utembee na rim tu hadi mahali ndio upaki kwa dharura japo ni hatari ila inawezekana.
Mwisho japo sio kwa umuhimu naamini uko bado kwa Biden naamini ni sehemu iliyo na experts wengi sana wa mental issues wanaweza kukusaidia ila kwa wabongo ukiendekeza nia hiyo watakugeuza fursa utakuja hapa kufungua muendelezo wa uzi wa kutapeliwa. Kila la heri mkuu mtumaini Mungu naye atakufanyia wepesi.
Atè então
Labda siku nikija kuwa sawa kiakili nitakuja jishangaa nilikuwa na waza nini mpaka kufikiria kuongea na wafu, ukweli sikuwahi waza mambo ya kiganga wala haya masuala ya kuongea na wafu ila hii changamoto ilivyo nikuta imenifanya ni jaribu kila kitu mradi tuu labda nita pata amani , miezi 12 nyuma mtu angenia mbia suala la mganga na misukule ninge mshangaa na kumuona kichaa vile vile, ila kwasasa mtu akiniambia an rudisha msukule nita msikiliza na kumuamini , muda utafika naomba kwa Mungu nirudie hali yangu ya zamani .
Asante sana najitahidi na nitajitahidi sana kukubali hali.Bado hujakubaliana na hali ndo tatizo lako. All of this starts in your mind, your mind is playing tricks on you sababu hujataka kuukubali uhalisia.
Kama aliumwa hadi kupatwa na mauti jipe moyo kapumzika utaukubali uhalisia.
Pole sana bro , ila zingatia tu hayo utakaa vyema inachukua muda lakiniSikuwai kuja waza kwamba nitakuja kuwa na metal breeakdown,kazi imekua ngumu sana kufanya ,nilikua ninaamini nina weza handle kila kitu ,ila kumbe hili kwangu ni pigo ambalo sikuweza lihimili ,asante sana kwa sasa naona niko kweli kwnye hatua ya kwanza ambayo inanipa ugumu sana ,kweli suidcidal thoughts zinakuja kila wakati huwa naona kama hakuna haja ya kuishi ninajitahidi sana kujaribu kukubali ila kila saa nina rudi nyuma ,kwa sasa ninajitahidi kuelewa hali na nitazingatia sana ushuri wako , asante sana na ubarikiwe.
Nashukuru sana , nitajitahidi sana kw ahili suala .Pole sana bro , ila zingatia tu hayo utakaa vyema inachukua muda lakini