Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

Wema nime mtendea sioni kipi ana weza kuwa na tatizo na mimi
 
Sija mkosea lolote nataka kujua tuu kama ana jua kama nilimpenda anajua kama nilijitahidi kila jambo je anajua kama nilikuwa namjali ,sababu siku za mwisho kidogo nilikua mkali kwake kwa sababu alikua ana bisha matibabu sasa ikabidi niwe mkali ili aweze kubali sikupata muda wa ku mweleza namjali kwakiasi gani kifo chake sikukitegemea kitoke kabisa kama kili tokea kwa kushangaza ghafla hivyo bado na hali ya kuumia kwamba sikumpa mazingira ya furaha mwisho wake , je ukali wangu alitafsiri kama simpendi ?kwa kifupi nilikua kama na mnunia kila nikiwa wodini , nila ilikua ni aone kaniutdhi ili akubali matibabu .
 
Ngoja mchawi mstaafu Mshana Jr aje kutusaidia katika hili.
Hufuatwi na kivuli chake hiyo ni lahaja tu ama lugha picha lakini kwa usahihi ni mzimu wa marehemu na hili hutokea pale mtu kila afanyacho ama asemacho atamtaja marehemu kwa uzuri ama kwa ubaya
Kuna kufuatwa na kivuli cha marehemu na kuna kuandamwa na mzimu wa marehemu! Haya yote nawili yana maana MOJA.. Lakini kiuhalisia marehemu hana kivuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ,Je kuna Ubaya kufuatwa na mzimu ?
 
Okay...kwanini sasa unahisi anakufata, au unamuota ota mara kwa mara?
Unachofeel ni kitu cha kawaida tu inatokea....
 
Roho ya mauti inakufuatilia...

Omba Mungu akuepushe nayo...

Ukipuuza utakufa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…