Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?



Kwa hiyo ukimpeleka mtoto Havard, halafu akataka kurudi nchini unataka serikali imjengee chuo chake?
 
Masikini..nchi yangu.

Kama vijana ndo mnafikiri hivi.. tumekwisha.
 
Kwahiyo watoto waliosoma privave wanakuwa sio watanzania?
 
Tatizo hiz div 1 za siku hiz zina kwashakoo sana.Zime chekechwaaaaa mpaka hazina ladha.
Siku hizi wanavuta marks unaambiwa

Mfano A inaanzia 75 so ukipata 73,74 unavutwa na inakuwa A na ukipta 62,63 na 64 inavutwa inakuwa B yahn ujinga mtupu
 
Niwe mpole kivipi nalipa kodi mkuu...

Baki na ujinga huohuo... Mmejenga ikulu mbili . Two state houses in a single country. Na mnaongeza Samia complex..

Hizo pesa zingeweza jenga shule special zaidi ya 50.

Hivi mmelogwa.
Mada inaongelea watoto wa shule za mamilioni kupangwa shule za Kata! Haya mambo Ikulu na Samia Complex yanaingiaje tena hapa.

Mkurugenzi, punguza munkari. Utakuja upate magonjwa yasiyo ya kuambukizwa iwapo kila jambo utalichukulia kwa uzito kiasi hiki.
 
Serikali ni ya watu wote unataka wachambue kwamba huyu mtoto kwao wanahela wampeleke shule ya vipaji? Tatizo ni wewe kama unahela muhamishie mtoto wako shule za private.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wanavuta marks unaambiwa

Mfano A inaanzia 75 so ukipata 73,74 unavutwa na inakuwa A na ukipta 62,63 na 64 inavutwa inakuwa B yahn ujinga mtupu
Silifaham hilo japo inawezekana ila nina uhakika siku hiz mambo pahala pengi ni ya hovyo hovyo sana
 
Kati ya mambo ambayo naipongeza Serikali, basi ni hili la kuwapanga watoto wenu katika zile shule za Kata ambazo wazazi tulizikimbia hapo awali.

Watoto lazima wachangamane bhana.
Aaaah wapi. Mtoto wangu nimempeleka MIT, karo yake kwa mwaka ni bajeti ya wizara yenu ya elimu.
 
Kwahiyo watoto waliosoma privave wanakuwa sio watanzania?
Ni Watanzania wazuri kabisa. Lengo tunataka tu waende Shule za Kata, kuchangamana na wenzao waliosoma katika mazingira magumu.
 
Kati ya mambo ambayo naipongeza Serikali, basi ni hili la kuwapanga watoto wenu katika zile shule za Kata ambazo wazazi tulizikimbia hapo awali.

Watoto lazima wachangamane bhana.
Hiyo ni roho mbaya mkuu alio kuzidi amekuzidi ata ufanye je?
 
Mkuu nakuonesha tu ni jinsi gani serikali inatuona sisi wananchi wake ni wajinga...
 
Hiyo ni roho mbaya mkuu alio kuzidi amekuzidi ata ufanye je?
Wazazi mtuunge mkono katika jambo hili. Serikali yenu ya awamu ya sita inayo ongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan, inawapenda watoto wote.
 
Mbona tumesoma shule za private za gharama, na bado tukapangwa special schools!

Mwanao ni kilaza, anapelekwa anakostahili. Siku hizi Division 1.7 na 1.8 ni nyingi, special schools zinajaa mapema.

Usilaumu serikali, uwezo wa mwanao mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…