Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Umeamua umalizie na chingleza ili waelewe zaidi🤣🤣🤣🤣
 
Wanazo ndio maana walianza kindaG. Kwa shule/vituo vya mamilioni. Shule za msingi kwa mamilioni o-lev kwa mamilioni. Advanced level huwezi shindwa
Si kweli..
Mawazo kama haya ni ya hovyoo..

Mtoto kumpeleka ktk good foundation haimaanishi pesa ipo. Watu wanajinyima. Mawazo yako haya ndo yanawagharimu vijana mpaka chuo kikuu eti hapati mkopo kisa alisoma private schools.. huu ni upuuzi mkubwa.
 
Kuna kitu nimekinotice serikali inafanya biashara na hivi vyuo vya kati haiwezekan mtoto umpe elimu bure halafu uje umtelekeze huku mbeleni

Binafsi nimekuwa mwalimu wakujitolewa shule mbili tatu za kata aisee watoto wanaosoma pale wengi wanatokea maisha duni sana yahn njaa balaa....sasa huyu mtoto kapambana kapata divishen yake 3 ya papatu hafu serikali inakuna kumpanga chuo ada tsh 800,000 mpaka 1,000,000 na hapo bado gharama za direct cost na malazi na kumbuka wakati anasoma elimu bure hata sare zake za shule wazazi waloshindwa kumudu.....ndio maana hawa watt wa cerficate wanatombw.a sana wakifika chuo

Serikali kwnye hili mmnalata useng.e sana kumam.ake mnafaulisha watu ovyo hafu mnawatelekeza.
 
Si kweli..
Mawazo kama haya ni ya hovyoo..

Mtoto kumpeleka ktk good foundation haimaanishi pesa ipo. Watu wanajinyima. Mawazo yako haya ndo yanawagharimu vijana mpaka chuo kikuu eti hapati mkopo kisa alisoma private schools.. huu ni upuuzi mkubwa.
Mzazi ajinyime miaka miwili ili amalize kufunga renta kweny ukuta ambaonaliujengea foundation nzuri. Ikibidi chuo mtoto apelekwe vyuo vya nje ili hiyo renta ipauliwe na mabati bora kabisa yasiyo isha ubora wake.
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Kwanza angalia au chunguza viwango vya elimu za hao wanaopanga shule utagundua wamefanania na hicho wanachokifabya.

Impact ya kupuuzia upatikanaji wa mitaala.bora huonekana kwenye utendaji wa kigai gai wanaoufanya leo.

Niambie serikali nzima yenye wataaluma wote wanashindwa kung'amua mitego kwenye mikataba hadi rai wawastue..... huoni tatizo hapo?
 
Si kweli..
Mawazo kama haya ni ya hovyoo..

Mtoto kumpeleka ktk good foundation haimaanishi pesa ipo. Watu wanajinyima. Mawazo yako haya ndo yanawagharimu vijana mpaka chuo kikuu eti hapati mkopo kisa alisoma private schools.. huu ni upuuzi mkubwa.
Mbali na kunyima kuna kustaafu kabla kijana hajamaliza kusoma.
 
Uwezo wake pia mdogo ujue. Wale wenye pass marks kubwa wanaenda mzumbe, kilakala, msalato, Tabora girls na boys, tosamaganga, Songea boys na girls nk

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Sasa shule zenye hadhi hiyo kwanini zisijengwe kila mkoa!? Unafikiri haiwezekani.. yani shule hizo zilizojengwa na wakoloni ndo special mpaka leo!?
Hivi do we think straight kweli!? Taifa la watu wazima hili miaka 60 ya uhuru.
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Sasa kama umeweza kumsomesha mtoto wako kwa mamilioni, kwa nini usimpeleke tena kwenye hizo shule za mamilioni? Wenzako mbona wanafanya hivyo, na hawalalamiki?

Au serikali imekulazimisha kumpeleka mtoto wako huko Nkasi, Namtumbo, Chunya, Songea, nk? Au unafikiri wanapo panga huwa wanaangalia kigezo cha mtoto kusomeshwa shule za mamilioni?

Kwa ufupi tu haya malalamiko yako hayana mashiko. Muache mtoto akachangamane na watoto wa kutoka mazingira tofauti. Huenda ikamsaidia katika maisha yake ya baadaye. Na pia kama huna hela kwa sasa ya kumrudisha mtoto wako kwenye shule za mamilioni, jitahidi kuwa mpole.
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Kwenye masomo ya combination anayotaka kusoma, for instance PCM or PCB ana AAA au AAB? Kama hana hizo scores halafu ana Div 1 yenye A za history na Kiswahili na anataka kwenda PCM au PCB special school..asahau. Kwenda Special School kitu namba moja ni kufanya vizur sana kwenye masomo ya combination husika. Wapo hao walisoma private schools na wakaperform vizur na tutakutana nao Advance Special school....ingawa sisi wengine tulisoma serikalini kwa hali ngumu...focus yetu ilikuw ni kuweka AAAA kwenye PCM or PCB ..hayo masomo mengine hata tukivurunda kwa kupata C au B tulikuw hatujali....na with that performance straight away sio rahisi kukosa Special school
 
Sasa kama umeweza kumsomesha mtoto wako kwa mamilioni, kwa nini usimpeleke tena kwenye hizo shule za mamilioni?
Kwa uwezo wako wa kufikiri unafikiri situations ktk maisha ni permanent si ndio!?

Una waza kimasikini na umejaa wivu.
 
Hizi shule huwa zina madaraja:-
International school
Hizi ada zake za chekechea zinaanzia milioni 8, mifumo yao ya elimu wanatumia ya nje, na hawafanyi mitihani ya hapa kwetu; ukishampeleka huko, maana yake unamuandalia ulimwengu mwingine nje ya Afrika
English medium; ingawa watu wanakosea na kuziita intrnational school
Hizi ada zake ni milioni 2.5 hadi 4; hawa wanafanya mitihani yetu na kutangazwa kwenye matokeo; utofauti wao na shule za kata, ni ufundishaji wa kiingereza zaidi na mazingira ya kusomea.

Nb: Kwa aliyesoma katika mazingira magumu na kufaulu i.e shule za kata ana uwezo mkubwa sana kuliko yule aliyesoma katika mazingira mazuri.
Kwa hiyo ata upangaji wa shule ulifikiria hilo

Suluhisho; ni kuendelea kumpeleka huko huko ingawa ni gharama, na mwisho wa siku atakutana na wale waliosoma shule za kata katika vyuo vyetu vikuu vya humu ndani.
 
Back
Top Bottom