Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa, hii ni sawa na mtoto asome secondary school feza alaf chuo anaenda UDSM. Hapa umefeli, akisoma huko pia mwandae na chuo akasome Canada, USA, India, Australia. Hapo unakua ume balance.
 
Mbona tumesoma shule za private za gharama, na bado tukapangwa special schools!

Mwanao ni kilaza, anapelekwa anakostahili. Siku hizi Division 1.7 na 1.8 ni nyingi, special schools zinajaa mapema.

Usilaumu serikali, uwezo wa mwanao mdogo.
Kwani wewe uwezo wa mtoto unaipima kwa matokeo ya div 1 ya 7 au ya 8 wewe utakua layman katika elimu.
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Haja kidhi vigezo.
 
Kwani wewe uwezo wa mtoto unaipima kwa matokeo ya div 1 ya 7 au ya 8 wewe utakua layman katika elimu.
Wanapofanya selection; uwezo wa mwanafunzi unapimwa kwa ufaulu wake.
 
Wanapofanya selection; uwezo wa mwanafunzi unapimwa kwa ufaulu wake.
Sawa hiyo ni criteria ya kuchangua ila sio ishara ya kusema kwamba mtoto alio pata 1 ya 11 ni kilanza au mzito wa akili.
 
Sawa hiyo ni criteria ya kuchangua ila sio ishara ya kusema kwamba mtoto alio pata 1 ya 11 ni kilanza au mzito wa akili.
Kwahiyo mwanao ana division I ya 11, serikali imuache aliyepata division I ya 10 impeleke wa kwako? Ulisikia wapi? Anayefaulu vizuri ndiyo anapewa kipaumbele zaidi.
 
Kwahiyo mwanao ana division I ya 11, serikali imuache aliyepata division I ya 10 impeleke wa kwako? Ulisikia wapi? Anayefaulu vizuri ndiyo anapewa kipaumbele zaidi.
Mimi sijawahi kutegemea shule za serikali siku zote iko private na atamalizia uko uko.
 
Kuhusu hili serikali iingilie kati haliwezekani mtoto amalize feza umpeleke Nanjilinji huko wakati B.O.T iko pale jirani tu
 
Ina tija gani?

Halafu ili iwe nini?

Na kwanini?

Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?

Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi?

Hizi shule ambazo serikali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake?

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average, wote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement?
Nchi hii ina mambo ya ovy sana. Inaonekana serikali ina wivu wa kike kwa shule binafsi. Inasikitisha mno.
 
Nchi hii ina mambo ya ovy sana. Inaonekana serikali ina wivu wa kike kwa shule binafsi. Inasikitisha mno.
Wala Si Serikali as whole.. ni wajinga wachache.
Maana hawa serikali yenyewe watoto wao hawasomi kwenye shule hizi za kayumba..
 
Kam ana ufaulu mzur n haki ya mtoto

Ila pia kam unakpato don't waste time , usitumie maneno sehemu inayohitajik pesa
 
Ninachojua, kwa darasa la 7 kuna Cut off points tofauti kati ya wanafunzi wa private na wale wa governments Schools. Wanafunzi wa Private School wamewekewa cutoff point ya juu sana ili kwenda shule nzuri za Serikali. Ndio maana unaweza ona wengi wa hizi English Medium Schools wanaishia kupangiwa Shule za kata, isipokuwa wachache sana ambao ni exceptional
 
Back
Top Bottom