zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #21
Ooh!maskini uongo bana mbona miandiko yenu midogoHumu wengi sisi bibi zenu na mama zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh!maskini uongo bana mbona miandiko yenu midogoHumu wengi sisi bibi zenu na mama zenu
Mi kama kuna watoto wakike kuanzia 19 mpk 24 hivi ndo nitakaa kwenye huu uzi lkn kama sote ni vidume tu hiyo itakuwa ni sawa na mkate bila blue band au bila chai.. so babies hot girls njooni mpige stori nami walau tubadilishane mawazo n.k binafsi mi ni 24..[emoji6]
Humu wengi sisi bibi zenu na mama zenu
[emoji23]Haya mm Nina 27 twende kazi
Harusi itafana Sana[emoji23]
Amen mwambie unashindwa ninisana mkuu,yani hiyo pisi sio kwamba eti ni utani ila namkubali sana ana kila kitu nachotaka kwa mwanamke
Mgombanie goli[emoji23]Huyu shunie mi nilianza kumpenda Toka sijajiunga jf
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja[emoji846]Mi kama kuna watoto wakike kuanzia 19 mpk 24 hivi ndo nitakaa kwenye huu uzi lkn kama sote ni vidume tu hiyo itakuwa ni sawa na mkate bila blue band au bila chai.. so babies hot girls njooni mpige stori nami walau tubadilishane mawazo n.k binafsi mi ni 24..[emoji6]
Ooh mkuje thenNipo ap mdogo ako age 22
Kumbe age mate Mambo vp mkuu??Nipo ap mdogo ako age 22