Ina maana hakuna msichana aliye single?

Ina maana hakuna msichana aliye single?

Yaaani ila ni kweli huwa wanaangalia wealthy. Status aisee ila hapo ndipo huwa nashangaaa
 
Maswali mengine watu mnajiswalisha wenyewe, kwanini uanze kumuuliza kama yupo single? Hiyo single ndio unaitafuta kutoka kwake?
 
Back
Top Bottom