James Uronu
Senior Member
- Jan 26, 2013
- 161
- 72
- Thread starter
- #21
Yaaani ila ni kweli huwa wanaangalia wealthy. Status aisee ila hapo ndipo huwa nashangaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa!wanakua kwenye mahusiano au single baada ya kuangalia hali ya mtu
asantePole
hahahahah yale maswali hawezi tena kuyajibu,atapotezea tu blaza,trust me...hahahahYaani wewe Natafuta bado hujajibu maswali yangu mrembo.
Duuh yaani kaingia mitini hata kunijibu na kuniambia kwamba alichemsa hakuna.hahahahah yale maswali hawezi tena kuyajibu,atapotezea tu blaza,trust me...hahahah
Haswa lile swali la sauti inayotoka kulee pahala baada ya kutoa dushee...nahitaji sana majibu yake...hahahahDuuh yaani kaingia mitini hata kunijibu na kuniambia kwamba alichemsa hakuna.
Hata mimi Mkuu,yaani ni kama jenereta ya kichina haki ya mama.Haswa lile swali la sauti inayotoka kulee pahala baada ya kutoa dushee...nahitaji sana majibu yake...hahahah
Kama hataki nichukue Mimi najua kupetipetinjo kwangu, nipo single. nina mpenzi mmoja tu
We husninyo mbona mimi ujanihesabu sasa[emoji15] [emoji27] [emoji134] [emoji7]njo kwangu, nipo single. nina mpenzi mmoja tu
Husninyo naomba kuja pmnjo kwangu, nipo single. nina mpenzi mmoja tu
Husninyo msaidie mtoto Wa mwanamke mwenzioHusninyo naomba kuja pm