Ina maana hakuna msichana aliye single?

Yaaani ila ni kweli huwa wanaangalia wealthy. Status aisee ila hapo ndipo huwa nashangaaa
 
Maswali mengine watu mnajiswalisha wenyewe, kwanini uanze kumuuliza kama yupo single? Hiyo single ndio unaitafuta kutoka kwake?
 
njooo kwangu ila nipo double but kama utaweza kustruggle we utakuwa double wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…