James Uronu
Senior Member
- Jan 26, 2013
- 161
- 72
Kila msichna ninaye mtokea yupo in relationship sijapata ambaye yupo single pamoja nakusema yupo na mtu bado atakubali tuu.
Vipi upande wako mdau.
Vipi upande wako mdau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hapo umenena kakawasichana wengi huwa wako single kama utaanza na 3GEI4RBQL Imethibishwa,step up ur game player
Kila msichna ninaye mtokea yupo in relationship sijapata ambaye yupo single pamoja nakusema yupo na mtu bado atakubali tuu.
Vipi upande wako mdau.
Atakuwaje single wakati sisi wenye magari tunamiliki zaidi ya 20 na tunawapangia ratiba ya kuja.Kila msichna ninaye mtokea yupo in relationship sijapata ambaye yupo single pamoja nakusema yupo na mtu bado atakubali tuu.
Vipi upande wako mdau.
Sasa sisi ambao hatuwezi kununua rav 4 inakuwajeAtakuwaje single wakati sisi wenye magari tunamiliki zaidi ya 20 na tunawapangia ratiba ya kuja.
Nunua Rav4 new model wote wanakuwa single,hata wake za watu sio sumu ukiwa na gari.
SawaFwata ile kanuni ya SURVIVAL OF THE FITTEST.
Hapo ndio shidaWewe upo single? Hivi hawa wasichana wapo kwenye relation na nani?
Kuna mama nitilie,wauza magenge na wengine wasio na kazi wanamkubali kila mwanaume.Sasa sisi ambao hatuwezi kununua rav 4 inakuwaje
ungekuwa karibu ningekupa zawadiwanakua kwenye mahusiano au single baada ya kuangalia hali ya mtu
Yaani wewe Natafuta bado hujajibu maswali yangu mrembo.ungekuwa karibu ningekupa zawadi
mtu ana hata mia haeleweki ategemee apewe jibu la subiri niwaze au?