Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Tumekuwa nchi ya ajabu sana aisee.Ndani kwa moto nadhani nchimbi adui yake sio samia peke yake samia ana kundi kubwa la wahuni wanaompa maelekezo nini cha kufanya.
Utasubiri Sana Nani ajirisky? Familia yake inayofaidi matunda yake wamekaa kimya unataka wengine wafanye nini?Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
kama wanaojiita waandishi ni hawa kina mwijaku na kitenge unategemea nini? nchi imelaanika kabisa yaani wanataka kila mtu awe kiazi waendelee kula mema ya nchi kilaini. na ukitaka kujua hali imekua mbaya hata ukijaribu tu kumsema yule mungu wao wakike aliyeiwa na mme unaweza hata kuuwawa hadhaarani na watu wakaona poa tu,Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Inafikirisha watuambie wakimpigia/ kumuona mke wake au ndugu zake wanatoa majibu gani? Waende alopikua anaishi live na camera walinzi waseme lini walimuona mara ya mwisho. Watafutwe walinzi waliokua zamu usiku anajiuzulu waseme kama alitoka au yupo ndani kafungiwa.Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Mifumo ya kiulinzi haifanyi kazi hvyo ..hata askari aliekuwa akimulinda ukimuliiza alipo nchibi hajui .we una unafuu wa kujuaInafikirisha watuambie wakimpigia/ kumuona mke wake au ndugu zake wanatoa majibu gani? Waende alopikua anaishi live na camera walinzi waseme lini walimuona mara ya mwisho. Watafutwe walinzi waliokua zamu usiku anajiuzulu waseme kama alitoka au yupo ndani kafungiwa.
Msala wa Polepole na Nchimbi hautaiacha CCM salama. Watatafunana wenyewe kwa wenyewe ni suala la muda tu.Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Magufuli ana mchango mkubwa sana wa kuiingiza nchi shimoni.Maghufuli pumzika kwa amani , marehemu hasemwi vibaya lakini .huko ulipo jua ulituachia msala huku ..
CNN wapo wapi? Bbc kitengo cha utafiti wamejificha?Tumekuwa nchi ya ajabu sana aisee.