Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Kama Members wa Jamii Forums tumtume muwakilishi.
Tumuombe Pascal Mayala amtafute na kumuhoji Nchimbi🤣🤣🤣🤣.

Bongo hatuna waandishi ni Njaa tu Loooooohhhhh!!!!!!!!!!!!!
😹😹😹 Naunga mkono hoja..!!
JF ina muandishi machachari kama Pascal kwanini tusimtumie akutuulizie?
 
Magufuli ana mchango mkubwa sana wa kuiingiza nchi shimoni.

Kufanya vizuri kwenye ujenzi wa miundombinu huku ukiasisi vikundi vya kihuni na utekaji inampunguzia heshima ambayo angestahili.

Magufuli ndiye mhasisi wa huu ujinga unaoshamili sasa.
Naunga mkono hoja.
Sema hii watu wanaogopa kuisema..!!
Jiwe ndo chanzo cha mambo yote haya..!!
 
Ndani kwa moto nadhani nchimbi adui yake sio samia peke yake samia ana kundi kubwa la wahuni wanaompa maelekezo nini cha kufanya.
Nakumbuka nchimbi alisema hivi kama unjua ulichaguliwa kihaki inakuaje unakua na watu wanaofatilia maisha ya watu kisirir siri na kukuletea wewe? 🤣
 
Kaja kuwasanua watu wapambanie jambo na anajitoa sadaka ,badala ya kuunga mapambano wamekaa kusubiri nini kinafuata anapotea basi mapambano yaanze kimya wamefyata mkia hovyo sana .
👀watu gani hao unawaongelea kwan kiongozi
 
NChimbi yupo kwake Dodoma (nyumbani kwake) najiuliza maswali kwanini mnashupalia kumuona mnataka asemeje?? Mumuone akifanya nini?? Sio kiongozi wala mwanachama wa chama chochote means anamaisha mengine sasa na hata ningekua mimi ngetulia kwanza.

Hoja ya msingi yupo kwake dodoma
 
NChimbi yupo kwake Dodoma (nyumbani kwake) najiuliza maswali kwanini mnashupalia kumuona mnataka asemeje?? Mumuone akifanya nini?? Sio kiongozi wala mwanachama wa chama chochote means anamaisha mengine sasa na hata ningekua mimi ngetulia kwanza.

Hoja ya msingi yupo kwake dodoma
Kwa hyo hata kanisani hataki kwenda .yeye na CCM kunahusiana nn kutokwenda kanisani
 
Wenzetu freedom of the press is guaranteed ndani ya katiba yao, sisi hatuna!
P

Kwahiyo unakubaliana na mimi Tanzania ni nchi ya kidikteta?

Hata zile ziitwazo kura za October 29 hazina tofauti na uchaguzi ule wa enzi za Moi akitumia mfumo uitwao "Mlolongo" yaani unasimama kwenye mstari kupiga kura mahali ilipo picha ya mgombea unayemtaka kumpigia kura na chama chenyewe ni kimoja cha KANU.

Tanzania ya sasa ni Kenya ya 1980-90.
 
Ukitaka kujua CCM ni chama cha wajinga, siku zote wapo busy na petty ishues, mfano kutaka account za heche zifanyiwe auditing, lakin report ya CAG isiongelewe, kisa Ina deficit zilizosababishwa na wanaCCM mabilion na mabillion, wako busy na mambo yakipuuzi, ila hakuna hata mtu mmoja aliyejaribu kumpazia sauti aliekuwa makamu wa Raisi, ila alivyokuwepo walikuwa wanasema anaupiga mwingi sana yeye na mama Yao 😂😂😂😂😂. Very stupid Hawa jamaa
 
Back
Top Bottom