Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Tatizo mnamuulizia sana.Nchimbi alijiuzulu Umakamu na kustaafu siasa.Yeye sasa ni Private Citizen.Kwa sasa amechagua kukaa kimya.Ukifika wakati sahihi atajitokeza.Kwa sasa muacheni atafakari na kupumzika.
 
Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.

Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.

Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.

Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.

Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.

Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?

Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?

This is so weird!

Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?

Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?

Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….

Sickening.
Kama ni muhimu sana kujua Nchimbi yuko wapi we uliza nyumbani kwake Nchimbi NI wapi halafu nenda kaulizie kama yupo au hayupo!
Usingoje waandishi wa habari wakaulize Kwa niaba yako wakati wewe mwenyewe hapo ni mwandishi wa habari!
Swali la kuuliza ni hivi Nchimbi nyumbani kwake ni wapi?
Nenda kaulizie jamani Nchimbi yupo au hayupo?!
 
Kummammako 🖕
 
Tatizo mnamuulizia sana.Nchimbi alijiuzulu Umakamu na kustaafu siasa.Yeye sasa ni Private Citizen.Kwa sasa amechagua kukaa kimya.Ukifika wakati sahihi atajitokeza.Kwa sasa muacheni atafakari na kupumzika.
Mkuu ubongokid ,thanks for this,we have very few people humu ambao ni sensible,wanaoelewa the right to privacy ya a private citizen

Nimewaeleza humu

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

P
 
Kama Members wa Jamii Forums tumtume muwakilishi.
Tumuombe Pascal Mayala amtafute na kumuhoji Nchimbi🤣🤣🤣🤣.
Mimi nilitimiza wajibu wangu na nikaleta humu
niamini mimi

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

naomba uniamini.
Bongo hatuna waandishi ni Njaa tu Loooooohhhhh!!!!!!!!!!!!!
Japo hili ni kweli,ila sio njaa tuu,kuna something more!https://www.jamiiforums.com/threads...anahalisi-lisamehewe-kuandika-ukweli.2470629/

Media ni mazuzu https://www.jamiiforums.com/threads...awe-wanaelezwa-ukweli-no-matter-what.2473541/

Na wananchi ni mazwazwa https://www.jamiiforums.com/threads...isi-watanzania-ni-mazwazwa-na-mazuzu.2473773/
P
 
Kabla sijasahau kusema naomba nitoe mchango wangu ,
Anayepotezea mambo kidgo kidgo ataanguka kidgo kidgo .
Nchimb hakuwa kiongozi wa ccm pekee ila Wanachi wa Tanzania kama sisi wenyewe tunasauti ya kuhoji tuko kimya, ila njoo maswala ya kipuuzi puuzi tuko juu sana kufuatilia yasiokuwa na mstakabar na Taifa hili inauma sana.
 
Hakuna siasa iliyowahi kuendeshwa kwa style hii ya Tanganyika duniani kote nchi ikabaki salama ipo siku huu moshi moto utawaka na waliotufikisha huku majivu yatakuwa mavuno yao one day kuna kizazi kitahitaji majibu sio ya mezani tena
HKuna lolote maiti haiwezi amka mkuu
 
Yan Tafuta nchi yeyote Duniani ambayo Makamu wa Raisi alivyojiuzulu akawekwa house arrest ili asije kuropoka weakness ya mifumo, na hakuonekana tena nakuhakikishia hiyo nchi hautaipata, na kilichomgoa pale mgoni ni pale alipoamua kumrudia Mungu wake na kujitoa Kwa shetani(CCM), Yan CCM mtu yeyote anaejaribu kuwachallenge kidogo anaonekana threat...hawataki weakness za serikali na mifumo wanachi wazijue why ? ....Hawa jamaa ni corrupt, selfish na ni magoons na mwisho wao ni mbaya...
Kaja kuwasanua watu wapambanie jambo na anajitoa sadaka ,badala ya kuunga mapambano wamekaa kusubiri nini kinafuata anapotea basi mapambano yaanze kimya wamefyata mkia hovyo sana .
 
Kama ni muhimu sana kujua Nchimbi yuko wapi we uliza nyumbani kwake Nchimbi NI wapi halafu nenda kaulizie kama yupo au hayupo!
Usingoje waandishi wa habari wakaulize Kwa niaba yako wakati wewe mwenyewe hapo ni mwandishi wa habari!
Swali la kuuliza ni hivi Nchimbi nyumbani kwake ni wapi?
Nenda kaulizie jamani Nchimbi yupo au hayupo?!
Mara uende ukutane na njemba ziseme we ndio kiherehere sana. Alafu zikuteke
 
92fbc896-c6a3-4dee-9c2a-1f1222706b42.jpeg
 
Maghufuli pumzika kwa amani , marehemu hasemwi vibaya lakini .huko ulipo jua ulituachia msala huku ..
Marehemu ndo anatakiwa kusemwa maana hawez kujirekebisha iwe mfano kuwa na ww ukifanya haya na haya italeta madhara makubwa maana ukifa hutaweza kurekebisha.
ova
 
Back
Top Bottom