Mkuu
ubongokid ,thanks for this,we have very few people humu ambao ni sensible,wanaoelewa the right to privacy ya a private citizen
Nimewaeleza humu
P
Hakuna mtu anayetaka kuingilia faragha ya Nchimbi.
Hata kama alikuwa ni makamu haramu wa Rais, yeye bado ni public figure by virtue ya nafasi alizowahi kushika nchini.
Watu wana interest ya kutaka kujua kama yupo salama au la, hususan kufuatia matukio mengi ya utekaji na upotezwaji wa watu yanayoendelea nchini.
Mistari michache ya kusema ‘ahsanteni sana Watanzania wenzangu kwa kutaka kujua kama nipo salama au la, napenda kuwahakikishia kwamba mimi nipo salama salimini. Kwa sasa naombeni mniruhusu nikae nitulie na familia yangu. Tutazungumza zaidi muda utakapofika.’
Maneno machache tu kama hayo yataondoa kabisa hii sintofahamu iliyopo.
Hatutaki kujua Nchimbi kavaa chupi gani, kala chakula gani, kaongea na nani, n.k.
Hakuna anayetaka kuivamia faragha yake.
Humphrey Polepole mpaka leo hatujui alipo.
Ben Saanane mpaka leo hatujui alipo.
Deu Soka hatujui alipo.
Na kuna wengine wengi hatujui walipo.
That is a very concerning pattern to anybody who has an ounce of intelligence in their head.
Us wanting to know their whereabouts and their wellbeing is not akin to invasion of privacy.