BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,200
..Naibu Raisi wa Nchi anapotéa Mwezi nzima haonekani baada ya kujiuzulu, na Wananchi wako Kimya TU! Tumerogwa....😡😡😡Tumekuwa nchi ya ajabu sana aisee.

Mkuu; Si umesema hapo juu kwamba huyo ni makamu......haramu? Sasa unamtafuta haramu ili iweje? Anakuhusu nini na uharamu wake?Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Sasa si unaona ameweza?Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Cha ajabu ni kipi hapo mkuu? Kumbuka Wahenga walisemaga: "Ajaye pasi na hodi huondoka pasi na kuaga." -si unaona imetimia?.Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Nani mwenye Ubavu au Uthubutu huo? Hebu anza wewe.Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
This is just an order of the day. Stay calm gentleman -enjoy ur day.Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Hatujarogwa chochote au popote wala na yeyote. Mbona hili ni "game" ambalo lipo na tumeanza kulizoea sasa? Sisi ngurumbili ndo tunapiga kelele ovyo lakini wenyewe wanaolijua na kulicheza Game hilo wanalielewa, wanafahamiana na wametulia tuliii...Naibu Raisi wa Nchi anapotéa Mwezi nzima haonekani baada ya kujiuzulu, na Wananchi wako Kimya TU! Tumerogwa....😡😡😡
Hayo Mashirika ya habari(waandishi wa habari) unaowataja; sidhani kama wataridhia kupoteza muda na fedha zao kwa jambo kama hili. Wanayo majukumu mengine nyeti zaidi. Au kwa lugha nyepesi, "Wacha wafu wazike wafu wao".CNN wapo wapi? Bbc kitengo cha utafiti wamejificha?
Msala wa Polepole na Nchimbi hautaiacha CCM salama. Watatafunana wenyewe kwa wenyewe ni suala la muda tu.
Akitoka senior mmoja ndani ya chama akajilipua kuhoji haya mambo hawana jinsi ya kukabiliana na kitakachofuata. Najua hawajajiandaa kwa hilo zaidi ya labda kutuma makada wa kumchafua huyo atakayejitokeza ila hawatajibu hoja zake.
Sio kweli ! Mambo yalianzia kwa Mzee wa mujini kabla ya Jiwe !Maghufuli pumzika kwa amani , marehemu hasemwi vibaya lakini .huko ulipo jua ulituachia msala huku ..
Dah! Sasa, walau hata kwa matarajio ; yataisha lini?Sio kweli ! Mambo yalianzia kwa Mzee wa mujini kabla ya Jiwe !
Maridhiano ni muhimu !Dah! Sasa, walau hata kwa matarajio ; yataisha lini?
Ni zipi pande mbili zinazokinzana hivyo zihusike kwenye Maridhiano na Maridhiano yawe ni kwa lipi?Maridhiano ni muhimu !
Hakuna chombo cha habari kilichojaribu hata kumhoji Nchimbi Ili aeleze hasa nini kilichojiri na kupata maoni yake.Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Hata hili mnataka mpaka Larry Madowo ndio aje kuwafanyia coverage kama ya october 29?CNN wapo wapi? Bbc kitengo cha utafiti wamejificha?
Kwani familia yake na ndugu zake wametoa taarifa ya kupotea kwake ? Achaneni na hao wapumbavu wa ccm ....yanayo wakuta wameyalea wenyewe.Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Kuna kitu cha kujifunza hata kwa Samia mwenyewe siku akitoka madarakani na watu wake wa karibu. Hapo ndipo atakapotambua kutesa ni kwa zamu, na CCM imejaa machawa na wanafiki tu!Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi.
Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari au mwanahabari yeyote yule akifanya jitihada za kutaka kujua alipo huyo jamaa.
Hili ni jambo la ajabu sana. Hii hali si kitu cha kawaida hata kidogo.
Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?
This is so weird!
Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….
Sickening.
Hao waliotetemeshwa na kibaka tu kama Bashite ndio sembuse hili?Media kubwa cama CMG
Mkurugenzi bwana kusaga fanya mambo bc .vija wako wanaweza ingawa rabda wamepigwa bani
Pb wakiliamsha na 360 kwa wk nzima nadhani tutapata picha frani .