Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
image_search_1641712649496.jpg
 
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Wewe ni miongoni mwa walioridhika kulipwa elfu 7 kwa wiki kwa kazi ya kutukana Chadema humu JF , endelea na kazi yako , Unamlilia nani sasa ?

Nimetumia nguvu kubwa sana kukufundisha lakini hamna kitu , UTAVUNA ULICHOPANDA , KAPUKU MKUBWA WE !
 
Umempa makavu,tatizo la ccm followers ni kujifunza taratibu-slow learners and therefore not easy to teach them any lesson.
 
Wewe ni miongoni mwa walioridhika kulipwa elfu 7 kwa wiki kwa kazi ya kutukana Chadema humu JF , endelea na kazi yako , Unamlilia nani sasa ?

Nimetumia nguvu kubwa sana kukufundisha lakini hamna kitu , UTAVUNA ULICHOPANDA , KAPUKU MKUBWA WE !
Twende taratibu nimeuliza swali nataka majibu
 
Ndiyo siyo mali yao, ni mali ya viongozi wachache...
 
Wewe ni miongoni mwa walioridhika kulipwa elfu 7 kwa wiki kwa kazi ya kutukana Chadema humu JF , endelea na kazi yako , Unamlilia nani sasa ?

Nimetumia nguvu kubwa sana kukufundisha lakini hamna kitu , UTAVUNA ULICHOPANDA , KAPUKU MKUBWA WE !
Ujue hata sikuamini kabisa kama ni yeye, duh maisha yanakwenda speed sana
 
Back
Top Bottom