Ina maana hili Taifa halina wazee kweli?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mungu amekasirika Mungu hajafurahishwa na hili jambo mmelifanya.

Tumepatwa na majanga watu wamekufa leo waziri anatangaza Rais ametoa 700m kwa ajili ya ushindi wa Taifa star ndugu zangu hili litajibiwa kwa majibu magumu toka kwa Mungu.

Je, taifa halina wazee nakuwaambia huu sio muda wa kutoa matamko ya kusheherekea mpira Taifa lina msiba watu wamekufa kwa uzembe wa walio pewa mamlaka je familia zilizobpoteza ndugu simngezipa japo hata 50m wangeona na hili la kutoa 700m ni sawa sasa mmeleta uchungu pasipo sababu.

Mungu amekasirika na atawajibu huwo ndio unabii wangu kwa siku ya leo. Amen.
 
Mfano tu niulize Ili waende robo Mganga anataka billion 20 sasa wasipotoa inaishia hatua ya makundi je mama kizi atatoa billion 20 ili Stars waende robo?
 
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.
 
we kumbe zwazwa hivi!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…