Ina maana hili Taifa halina wazee kweli?

 
Nchi ya kichawi na kishirikina hawawezi kujua hayo ya Mungu kukasirika. Hata wakipigwa watatoa sababu za kisayansi.
 
Kifo ni kifo TUUUU,,, ila huyu kiongozi wetu ,,, MACHAWA SASA MI 5 TENAA
 
Uumbwaaa. Wee subiri tu kuna uzi nakuandalia.

I must fix you up

Nyau de adriz
I you make any wrong move , you will pay a heavy price .

Slightest mistake could jeopardize your presence and ruin your reputation in Jf from worse to the wrost...

WARNING ⚠️ : You should take care and fell pity to yourself Mr Scumbag.
 
Tumepatwa na majanga watu wamekufa leo waziri anatangaza Rais ametoa 700m kwa ajili ya ushindi wa Taifa star ndugu zangu hili litajibiwa kwa majibu magumu toka kwa Mungu.
Hiii Pesa kumbe hatoagi yeye, niwapambe but hao wapambe wananufaikaje?
 
Kikwete alishasema wazee wapo lakini hawasikilizwi na wanaowasikiliza ni wale ambao sio waasisi wa CCM,nadhani hai ndio waliomshauri atoe pesa hizo halafu washerekee bila kujali majanga!!
 
Watu hawajielewi kabisa! Mambo ya Mpira ni upuuzi mtupu!
 
Oh! Kiranga again. Tafadhali mkuu, hebu mwache kwanza huyo jamaa ili wadau wamsikilize.
Athibitishe tu Mungu yupo.

Matatizo yetu karibu yote yanaanzia hapo, hivyo suala hili ni muhimu sana.
 
Athibitishe tu Mungu yupo.

Matatizo yetu karibu yote yanaanzia hapo, hivyo suala hili ni muhimu sana.
Sidhani kama anaweza. Dah! Kwaa bahati mbaya ameingia kwenye 18 zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…