ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Aug 3, 2025 #1 Anakuja mara kwa mara bar ila hata za kuonja tumezikataa kwa sasa mwaka wa tatu tumezikataa.Anapita kavaa miwani watu hatumuamini
Anakuja mara kwa mara bar ila hata za kuonja tumezikataa kwa sasa mwaka wa tatu tumezikataa.Anapita kavaa miwani watu hatumuamini
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Aug 3, 2025 #2 Umeshalewa..
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,992 Aug 3, 2025 #3 Acheni uoga..watu wana elimu wako mtaani kazi hakuna.
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,985 Reaction score 21,212 Aug 3, 2025 #4 Ungekuwa mtaani kwetu usingenunua vitumbua vya mama John maana yeye anauzia kwenye Corolla