Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Acha utanii mkuuHuko mahitaji ni mengi ndio maana wanaajiri sana, wengine wanastaafu, wapo wanaofariki, bado kuna shule nyingine hazina walimu wa kutosha mpaka leo, lakini pia shule na vituo vipya vya afya vinafunguliwa kila kona ya nchi.
Tuache utanii na mambo muhimu kama haya.Fani nyingine mko wengi..na mnaajiriwa kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe si meneja wa makampuni!Sasa ajira ya nn?Waajiri wenzio kwenye hayo makampuni yako.Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii.
Ili tuache utani katika swala la ajira.
Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
Tuwe serious na hii madaMkuu wewe si meneja wa makampuni!Sasa akira ya nn?Waajiri wenzio kwenye hayo makampuni yako.
Hebu toa mifano ya hizo fani....ili kuwe na majibu ya uhakika mkuu kulingana na uhitaji wakeTuwe serious na hii mada
Serikali hua na mfumo uitwao Wengi wapeNdugu zangu naomba kuuliza katika hii.
Ili tuache utani katika swala la ajira.
Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
usiwe na hofu ni issue simple, afya na elimu ndio maeneo yaliyo na ajira nyingi za moja kwa moja kutoka serikalini sisi wa fani nyingine ni swala la serikali kutengeneza mazingira ya kuzalisha ajira mpya kupitia sekta binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
naam umenena vyema lakiniii mahitaji ya hizo sekta sio ya mass employments kama ilivyo kwa afya na elimu mkuu , ukizingatia serikali ya the late JPM ilikua haijaweka kipaumbele kwenye ajira.Kwenye sekta ya afya na elimu sidhani kama unaweza kujisifu kwamba umeajiri aise. Tunataka kuona ajira zikitengenezwa katika sekta za utalii, kilimo, biashara, benki, madini, mafuta, gesi, madawa, ujenzi n.k.
Huko ndiko kwenye maendeleo ya nchi.
Hajira za walimu,Afya,ulinzi,hizi ni ajira za mkupuo hivyo hata kustaafu kwake huwa hivyo hivyo kwahyo hata pengo linakua kubwa tofauti na sekta zingine ambazo hajira zake sio za makundi na kustaafu kwake kuonesha pengo Ni nadra Sana hivyo acha tu walimu na Afya waajiri wengi,nazani utakua umepata mwanga kidogo,Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii.
Ili tuache utani katika swala la ajira.
Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
Sasa hizo zinatengenezwa? Tutengenezee ajira hizo zipo tu wala hazina faida yoyote katika uchumi hizo. Hivi mfano ajira za walimu zinachangieje kukuza uchumi. Hizo ajira zipo kila mwaka hizo.Hajira za walimu,Afya,ulinzi,hizi ni ajira za mkupuo hivyo hata kustaafu kwake huwa hivyo hivyo kwahyo hata pengo linakua kubwa tofauti na sekta zingine ambazo hajira zake sio za makundi na kustaafu kwake kuonesha pengo Ni nadra Sana hivyo acha tu walimu na Afya waajiri wengi,nazani utakua umepata mwanga kidogo,