co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Yaani mmekaa kupinga na kukosoa tu hamna hata jema,si bora hao amewaona hizo ajira 40000 je asingetoa kabisa....Kuweni na shukrani hata hicho kidogo hata maandiko yanasema “usiposhukuru kwa dogo hata kubwa pia huwezi shukuru”
#chawa_wa_samia_suluhu_hassan
#chawa_wa_samia_suluhu_hassan