Sasa hizo zinatengenezwa? Tutengenezee ajira hizo zipo tu wala hazina faida yoyote katika uchumi hizo. Hivi mfano ajira za walimu zinachangieje kukuza uchumi. Hizo ajira zipo kila mwaka hizo. Tunataka kuona ajira ambazo zinapimika mfano tukiona ajira za viwandani zimeongezeka tunasemaaa aaaa sasa nchi imekua na viwanda.
Vutia wawekezaji jenga viwanda hizo ndio ajira tunazozihitaji sanaa
Nadhani watu hawajamuelewa Mh.Rais,ukisikiliza hotuba yake alisema serekali itatoa ajira 40000 hususan kwenye Sekta ya Afya na Ualiamu,akiwa anamaana katika hizo ajira 40000 watu wenye fani za afya na ualimu wataajiriwa wengi kuliko kada zingine ambapo mwez uliopita walitoa mchanganuo juu ya hizo ajira ambapo kada ya afya wataajiriwa elf11 na walimu wataajiriwa 10,polisi ajira 1700+zimamoto 500+,magereza 800+,nakada nyingine zita chukua nafas zilizo back kwenye hzo 40000..Rais wetu Mama Samia ana nia njemaYaani mmekaa kupinga na kukosoa tu hamna hata jema,si bora hao amewaona hizo ajira 40000 je asingetoa kabisa....Kuweni na shukrani hata hicho kidogo hata maandiko yanasema “usiposhukuru kwa dogo hata kubwa pia huwezi shukuru”
#chawa_wa_samia_suluhu_hassan
Serikali iajili mainjinia wengi ili wakafanye nini huko, kwani ina viwanda ? Afisa masoko anahotajika serikalini kweli ili auze nini,?Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii.
Ili tuache utani katika swala la ajira.
Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
elewa kichwa cha mada mkuu, usijibu kwa mihemko. Viongozi watutengenezee ajira za viwandani, kwenye makampuni, kwenye utalii, kwenye kilimo, kwenye biashara mbalimbali, kwenye usafiri, kwenye mabenki, huko ndiko kuna uchumi. Na tunaweza kupima kwamba sasa uchumi unakua. Ajira za ualimu na afya hizo ni constant zitakuwepo miaka na miaka.Kwani ww ulisoma nn??
Kila siku si tungekuwa wote makazini 🤣😂😂😂Fani nyingine mko wengi..na mnaajiriwa kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko watu hawaajiriwi?Au umetumwa na mabeberu kumhujumu Mama?elewa kichwa cha mada mkuu, usijibu kwa mihemko. Viongozi watutengenezee ajira za viwandani, kwenye makampuni, kwenye utalii, kwenye kilimo, kwenye biashara mbalimbali, kwenye usafiri, kwenye mabenki, huko ndiko kuna uchumi. Na tunaweza kupima kwamba sasa uchumi unakua. Ajira za ualimu na afya hizo ni constant zitakuwepo miaka na miaka.
Mimi nazungumza uhalisia mkuu. Elewa vizuri kichwa cha mada kama kinavyo jieleza. Ni mara ngapi watu wa kada za afya na ualimu wanaajiriwa. Hizo kada zingine kuna graduate kibao hawana ajira. Mfano kuna wahisibu jobless, lawyers jobless, engineers jobless, social workers jobless, economists jobless, physicists jobless, microbiologists jobless, scientists jobless. Na bado wanaendelea kugraduate unadhani viongozi wasipo tumia uwezo wao vizuri nani atakaye waajiri watu hao.Kwani huko watu hawaajiriwi?Au umetumwa na mabeberu kumhujumu Mama?
Hivi hizo ajira za afya na ualimu unaweza sema zimetengenezwa au zipo tu siku zote.Kila siku si tungekuwa wote makazini 🤣😂😂😂