Ina maana massage ni kwa ajili ya wanaume tu au?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika.

Au kuna siri gani na wanaume kwenye hii huduma?
 
Wanawake wanapata huduma pia. Tena sehemu kama Ulaya, nadhani wanawake ni wengi zaidi. Wewe unachanganyikiwa na hizi dangulo zilizojivika kwenye ngozi ya sehemu za massage?
 
Back
Top Bottom