Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Bongo hakuna massage parlour, yapo madanguro bubu.
Afu wanasingizia massage, mxxxiiiiieeeew.
Wanawake tunawanunulia za nyumbani kama hii ya cocasticSijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika.
Au kuna siri gani na wanaume kwenye hii huduma?
Kilimanjaro hotel kuna demu Mkorea pale unakwenda kufanya massage kweli kwa appointment unafanya booking day and time.Massage parlour zipo, Sema bongo kwasasa vitu vya kijinga ndio vina trend. Oysterbay barabara ilipo Trinity Bar kuna massage parlour tena ya bibi wa kichina wapo very professional wanawake wanaenda pale wanafanyiwa massage tena huendi tu kienyeji unafika na kuchoma ndani moja kwa moja unachagua mdada wa kukufanyia massage Kama Yalivyo hayo madangulo ya Sinza. Pale unaenda kwa appointment unaweka booking ndio unaenda.
Mkanda, mkende, mkindi, mkondo au Mku......?Mie ndo natoa hizo huduma, [emoji23][emoji23][emoji23]