Ina maana massage ni kwa ajili ya wanaume tu au?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjawahi enda, ila kuna mtu alienda ndo alinisimulia yaliyomo huko.

Sasa mie niende kufanyajee?
Basi fanya wepesi, mambo ni kusaidiana[emoji23][emoji23]
 
Nifanye wepesi niende huko massage parlour? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuuu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya wepesi wa Location bana
 
Wanawake wanapata huduma pia. Tena sehemu kama Ulaya, nadhani wanawake ni wengi zaidi. Wewe unachanganyikiwa na hizi dangulo zilizojivika kwenye ngozi ya sehemu za massage?
Nasema tz huko ualya tuachane nako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…