Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe.
Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu.
Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa?
Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi
www.mwananchi.co.tz

Mwenyekitii wa Chadema, Freeman Mbowe amesema waliketi na Rais Samia Suluhu Hassan na kukubaliana kufanya siasa za kujenga Taifa ikiwa ni pamoja na kufuta kesi zote za kisiasa zilizokuwepo...