M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Aug 13, 2022 #1 Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi Mwenyekitii wa Chadema, Freeman Mbowe amesema waliketi na Rais Samia Suluhu Hassan na kukubaliana kufanya siasa za kujenga Taifa ikiwa ni pamoja na kufuta kesi zote za kisiasa zilizokuwepo... www.mwananchi.co.tz
Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi Mwenyekitii wa Chadema, Freeman Mbowe amesema waliketi na Rais Samia Suluhu Hassan na kukubaliana kufanya siasa za kujenga Taifa ikiwa ni pamoja na kufuta kesi zote za kisiasa zilizokuwepo... www.mwananchi.co.tz
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Aug 13, 2022 #2 Ile auditing itakuwa hawakuipenda
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Aug 13, 2022 #3 Wewe umefanya nn sasa zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard!! Ameamua kukuachia wewe uingie front bado wamlalamikia tena!! Pambana sasa tuone unavyowatoa watanzania kimasomaso!!🤣🤣🤣
Wewe umefanya nn sasa zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard!! Ameamua kukuachia wewe uingie front bado wamlalamikia tena!! Pambana sasa tuone unavyowatoa watanzania kimasomaso!!🤣🤣🤣